hahahaaa......! Wii we jitolee tu wewe, nasikia uvivu mwenzio lol!
ngoja nifungue tuition center
dady usimkatishe tamaa mtu wa watu :smile-big:
Hey, semeni. Am a new member and i'd really like to chat with the ladies
Hii post peleka U.W.T
TAMWA na MEWATA
haya mgee namba yako basi...
Acheni kuchakachua thread ya mvulana wa watu.
Hahaha unataka kuchat na kinamama kwani umeambiwa Chitchat ni disko la taarab??
jitambulishe wewe ndio nani kwanza ili ajue magwiji wa CC nitonye Arushaone Asprin Bishanga Judgement Kipaji Halisi Erickb52 sosoliso Filipo Baba V watu8 Mentor MZEE WA KUGAWA VEROSSAUnaleta usharo nyani kwenye kundi la simba! utaumizwa dogo
wivu tuhahaha unataka kuchat na kinamama kwani umeambiwa chitchat ni disko la taarab??
mbona we unachakachuaga za wenzako......
Nivea kwangu mimi mwenye macho matatu nishamjua tangu nilipoona thread yake mchana wa leo ila maadili hayaniruhusu kumtaja.