ivibration
JF-Expert Member
- Oct 10, 2013
- 363
- 73
Hey, semeni. Am a new member and i'd really like to chat with the ladies
Hey, semeni. Am a new member and i'd really like to chat with the ladies
Hahaha unataka kuchat na kinamama kwani umeambiwa Chitchat ni disko la taarab??
chat naye bhana mpe kampani mwenzio,au mkagueWakuchat nao 'chitcat' ama?
Anyway, karibu chitchat!
chat naye bhana mpe kampani mwenzio,au mkague
Wakuchat nao 'chitcat' ama?
Anyway, karibu chitchat!
Thanks my lady. Sory though for the typing error
mfundishe mwenzio namna ya ku quote
ana shi'ngapi nimfundishe?
chat naye bhana mpe kampani mwenzio,au mkague
atakurushia vocha ya jero......
hahahaaa.....! Kama ndio hivyo wii basi nakukabidhi wewe umfundishe na hiyo jero we uchukue tu my wii
hahaa wakati mr presidaa anakuwekea Unlimited lol......
wii volunteer basi