Am I falling in love or is just a crush?

Your style of writing profiles a no-keeper type. 29er should be a woman, not a girl. Maybe that's what scaring the brothaman away, I would be. You need some self evaluation first, otherwise you'll keep taking them Ls.
Acheni hizo

29 bado binti mbichi kabisa
 
Nitakujibu kama mwanaume katika mazingira yangu ya asili.

Mwanamke mwenye vigezo vyangu akiwa anaonesha ananielewa hata kama nina mtu nitampa attention inayotakiwa na inawezekana hata tukawa wapenzi.

Asiye na vigezo nitafanya kama huyo jamaa anavyokufanyia kisha kuna siku nitakuita eneo la tukio, najua hauwezi kukataa, nakumega then kila mtu na njia yake.

Au najenga mazingira ujione wewe ndiyo mhitaji, usishangae ukajikuta unagharamia out zote mpaka lodge ukaja kulipia wewe.

By the way, hivi unajua hata ukiwa na urafiki na mtu ni uhusiano huo?
Mweh......
 
Ego in a sense kwamba mnaona mkimpa *k* mwanaume ni mmempa kiki sana a.k.a shout out..hizo *k* kwani zimetengenezwa na tanzanite? ms nnana
Hahaaaa you are wrong .... So unataka MTU apate tu mzigo bila kumake efforts??

Afu MTU anaetoa mzigo kirahisi oo mnasema maharage ya mbeya.. Mnataka tuweje???
 
Kuna tofauti ya efforts na kuzungushana unreasonably for 11 months, mm mwanamke nkimtongoza hlf akanizungusha mda mreefu bila kunipa tunda ntajua kuwa huyu hanipendi, tena huko kwenye kuzungushana kwenyewe kila cku mpaka umtafte yy tu, hizo suluba siziwezi ms nnana
 
asee!...kumbe unanipenda...nilikua sijui bwana...hata mimi nakupenda ila niliogopa kukwambia🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kuna tofauti ya efforts na kuzungushana unreasonably for 11 months, mm mwanamke nkimtongoza hlf akanizungusha mda mreefu bila kunipa tunda ntajua kuwa huyu hanipendi, tena huko kwenye kuzungushana kwenyewe kila cku mpaka umtafte yy tu, hizo suluba siziwezi ms nnana
Then you ain't deserving the particular girl...she ll get the one she deserve
 
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.

Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.

Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.

Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.

Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende. [emoji124]. Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.

Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...
kwa huu mtindo wako wa uandishi inaonekana ww ni sistaduu tu,hivyo huna vigezo vya kuwa wife material.kaa chini fikiria wapi ulipokosea kisha amka songa mbele.
 
Kuna tofauti ya efforts na kuzungushana unreasonably for 11 months, mm mwanamke nkimtongoza hlf akanizungusha mda mreefu bila kunipa tunda ntajua kuwa huyu hanipendi, tena huko kwenye kuzungushana kwenyewe kila cku mpaka umtafte yy tu, hizo suluba siziwezi ms nnana
hahahaaa.. eti asipokupa hakupendi.. khaa.. kupenda ni zaidi ya sex. mbona mnapewa na bado mnawatema wanaowapatia? tena unakuta binti wa watu kajitoa kama nini na bado anaachwa..yaani wanaume mpewe , msipewe, kama hamu mpendi mwanamke ni kazi bure.
 
Bora kupendwa kuliko kupenda! Kua na mwanaume anaekupenda, utaenjoy sana! Ila mwanaume ukiwa unampenda na akajua unampenda utajuta. Husimuoneshe sana kua unampenda, mpotezee... Kama ni wako atakuja tu.
 
hahahaaa.. eti asipokupa hakupendi.. khaa.. kupenda ni zaidi ya sex. mbona mnapewa na bado mnawatema wanaowapatia? tena unakuta binti wa watu kajitoa kama nini na bado anaachwa..yaani wanaume mpewe , msipewe, kama hamu mpendi mwanamke ni kazi bure.

yeah umeongea ukweli uliposema kuwa kama tupewe au tusipewe tusipompenda mwanamke ni kazi bure. ila ninachotaka kusema ni kuwa mwanamke kuniyima tunda ni moja ya kiashiria kuwa hanipendi, though hata akinipa it doesnt necessarily mean kwamba ana mapenzi ya dhati. for eg mm nshanyimwa tunda na dem coz of the environment tuliokuwepo lkn pamoja na hilo still nliamini kuwa huyo dem ananipenda kwa jins alivokuwa anani-treat, so i think umenielewa
Bree ven
 
Likuepukalo lina kheri na wewe, imagine umemudu kuutunza usichana wako for 29 years (kama ni kweli) then ukabidhi moyo wako kwa jamaa akutumie na asepe kwa sababu wewe sio chaguo lake utajisikiaje?
 
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.

Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.

Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.

Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.

Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende. [emoji124]. Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.

Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...

We mtoto wa kishua... hiyo nailoni bado ipo au ishachanwa?

Ni miaka mitano sasa ishapita, tupe muendelezo wa tamthilia.
 
Back
Top Bottom