Sawa sawa kaka mtumishi😃😃Naijua tabia yako tangu utoto.
Tabia ni hitaji namba moja ktk mahusiano.
Yale mengine kila mtu anayo kasoro tabia njema
Jumapili kama kawa Church kisongo moja
Nami nitajiungaJumapili kama kawa Church kisongo moja
Anaonekana, toto rojo rojoUtafaidi sana ni litoto letu lizuri na limekamilika haswa
Demi 😂
Muonekano wakoKama wewe ni kaka yangu umejuaje kwamba jamaa atafaidi? 😃
Anakudanganya huyo shauri lakoMuonekano wako
Karibu sanaNami nitajiunga
Hawezi danganyaAnakudanganya huyo shauri lako
Anavaa miwani huyo haoni vuzuriHawezi danganya