Am I falling in love or is just a crush?

Men are very straight hawana longolongo. Kama angekua hata amekutamani tu ungejua immediately coz wanajua kusoma kama girl anaonyesha ishara ya kuvutiwa.
So just walk away. I believe you dont have to work that hard to find a true love. Mungu akimleta utamjua tu, its just obvious. Keep praying
Duuh.. Inanifanya nijisikie vibaya.. Lakini nakua na nguvu pale ninapoona bado natafutwa pia kwa wanaume wengine na pia vijana ninao wazidi hata umri. This means huyu mwanaume kweli I'm not his type..
 
29 sio mwaka wa kuogopa kuulizia unachotaka. Learn to express your choices. Hayo ni mambo ya under 25
 
Du! Mimi iliwahi kunitokea japo nilikuwa mdogo kama miaka 21, nilimpenda mtu mzima wa miaka kama 36 huko. Akagundua akatulia baadae tukaseparate kila mtu akaenda mbali, nikammis hadi nikashindwa nikapiga simu nikilia akaniambia ni nini tatizo unanipenda? Nikasema ndio! Akakubali tu ila kwa kunionea huruma lakini hakuwa ananipenda.
Umbali ulinisaidia ningeliwa!!!! Ila baada ya muda kupita nikaona hakuwa ananipenda alikubali tu kwa kunionea huruma.

Ninachotaka kukuambia ni kuwa waaume niwepesi kugundua kama unampenda dear, na kama anaona unavigezo hukusogeza karibu na kama huna anakupotezea tu, kama ni mshezi anakutumia anakuacha hapo. Kuwa makini, jitahidi moyo utapoa.
 
aiseee, hongera best 29 na hujawahi kuwa na serious r.ship daamn😱, please do something, you are missing a lot in this life, tchaaah.😛, (not necessarily sex, but kuwa karibu na dffrnt sex you get to learn alot about life).

well, back to ur questions, its true hakupendi but also take risks ya kumpa signs or mwambie tu verbal that "I like you", dont say i LOVE you. maybe from there u may catch his friendship or akiamua kukupotezea atlist utakuwa na amani moyoni. it doent kill anyone to say how they feel.

another thing nahis ndyo maana anakugaya, unajua mtu ukiwa na deep feel na mtu, unakuwa very sensitive..just relax around him, be yoself and u can jok arnd him...or establish some interesting topic abt life (not r.ships). Nahis atakua amekuogopa kidogo ulivyotaka kujua anaoa lini, (another person will feel judged na kuona unafatlia maisha yake,),

i dont know so much abt approaching a guy coz sijawah mtongoza mwanaume but i know a way to be friend wit him and najua atantongoza tuu na from ther tutakuwa tumejuana, so i can decide whether tuwe na r.ship or friends tuu...
relax mamaa..
 
Pole sana unapenda usipopendwa,hii ni kawaida sana katika maisha ya affairs.
 
Du! Mimi iliwahi kunitokea japo nilikuwa mdogo kama miaka 21, nilimpenda mtu mzima wa miaka kama 36 huko. Akagundua akatulia baadae tukaseparate kila mtu akaenda mbali, nikammis hadi nikashindwa nikapiga simu nikilia akaniambia ni nini tatizo unanipenda? Nikasema ndio! Akakubali tu ila kwa kunionea huruma lakini hakuwa ananipenda.
Umbali ulinisaidia ningeliwa!!!! Ila baada ya muda kupita nikaona hakuwa ananipenda alikubali tu kwa kunionea huruma.

Ninachotaka kukuambia ni kuwa waaume niwepesi kugundua kama unampenda dear, na kama anaona unavigezo hukusogeza karibu na kama huna anakupotezea tu, kama ni mshezi anakutumia anakuacha hapo. Kuwa makini, jitahidi moyo utapoa.
Asante sana, kwa ku share experience yako pia. Nina amani na ninazidi kujifunza pia.
 
aiseee, hongera best 29 na hujawahi kuwa na serious r.ship daamn😱, please do something, you are missing a lot in this life, tchaaah.😛, (not necessarily sex, but kuwa karibu na dffrnt sex you get to learn alot about life).

well, back to ur questions, its true hakupendi but also take risks ya kumpa signs or mwambie tu verbal that "I like you", dont say i LOVE you. maybe from there u may catch his friendship or akiamua kukupotezea atlist utakuwa na amani moyoni. it doent kill anyone to say how they feel.

another thing nahis ndyo maana anakugaya, unajua mtu ukiwa na deep feel na mtu, unakuwa very sensitive..just relax around him, be yoself and u can jok arnd him...or establish some interesting topic abt life (not r.ships). Nahis atakua amekuogopa kidogo ulivyotaka kujua anaoa lini, (another person will feel judged na kuona unafatlia maisha yake,),

i dont know so much abt approaching a guy coz sijawah mtongoza mwanaume but i know a way to be friend wit him and najua atantongoza tuu na from ther tutakuwa tumejuana, so i can decide whether tuwe na r.ship or friends tuu...
relax mamaa..
Thanks baby M. Mungu anipe nini sasa jinsi mnavonitia nguvu ya kusonga mbele na life, nazidi kujifunza mengi kupitia mifano na experience zenu.
 
Yaani nimeisoma hii story nimeipenda kuanzia mwanzo kufikia hapo chini nikasikitika tena
Umesikitika kwasababu something like this never happened to you, but seriously am telling you that a lot of women are passing through this kind of situation. Kinachowafanya muumie zaidi ni ile hali ya "If I tell him the truth, how will he take me?"
Don't limit your heart, there must be a way to make the guy aware of how you feel over him.
 
aiseee, hongera best 29 na hujawahi kuwa na serious r.ship daamn😱, please do something, you are missing a lot in this life, tchaaah.😛, (not necessarily sex, but kuwa karibu na dffrnt sex you get to learn alot about life).

well, back to ur questions, its true hakupendi but also take risks ya kumpa signs or mwambie tu verbal that "I like you", dont say i LOVE you. maybe from there u may catch his friendship or akiamua kukupotezea atlist utakuwa na amani moyoni. it doent kill anyone to say how they feel.

another thing nahis ndyo maana anakugaya, unajua mtu ukiwa na deep feel na mtu, unakuwa very sensitive..just relax around him, be yoself and u can jok arnd him...or establish some interesting topic abt life (not r.ships). Nahis atakua amekuogopa kidogo ulivyotaka kujua anaoa lini, (another person will feel judged na kuona unafatlia maisha yake,),

i dont know so much abt approaching a guy coz sijawah mtongoza mwanaume but i know a way to be friend wit him and najua atantongoza tuu na from ther tutakuwa tumejuana, so i can decide whether tuwe na r.ship or friends tuu...
relax mamaa..
This's is just a damn good advice. She must follow the trail
 
I think I will be humiliated. I have shown some actions which if he knows love, he might be able to understand. If he is into me as a man why did he jump into telling me that he is gonna marry while I don't even see his girl around?
You did your part dear... Giving him the green lights was more than enough...I can't tell you not to disclose your feelings around him...though personally I can't tell a man directly... I would just show him green lights...if he doesn't respond then I will put my acts together and move on(with pain though )

On your case, the way he reacts.. It seems that he has no interest at all... And he could probably has his reasons for not marrying the girl sooner but that doesn't mean he will still be interested in you..If a man want you,Nothing can stop him from pursuing you... I am speaking from experience and exposure dear...Take heart and move on.. Best of luck
 
Kwa case ya huyu bi dada na alivyoelezea, akimwambia alafu akakataliwa she will feel like the whole world is striking against her. Less otherwise akubaliwe na hapo ndipo atakapokuwa na furaha kuliko wanawake wote duniani.
By the way that's ain't a crush but intensive feelings of caring over the guy. SHE IS DAMN IN LOVE WITH THE GUY
True
 
Thinking hard ...yes hard about tanzanua ya viwanda but tumeanza na kununua ndege....what if tungeanza na kiwanda cha kutengeneza ndege zetu wenyewe kisha tuwauzie Rwanda Kenya Ethiopia naamini tungepiga ndege wawili kwa jiwe moja.....
Ohhhh...sorry young lady aged 29 yrs and still a virgin and never been in any relationship with a male creature but you badly had crashed and some times you fall in love...ahahaha...allow me to keep on thinking the unthinkable dreams of our new Tanzania in the making
 
Also don't let your happiness depend on someone... Learn to love yourself more...Control your emotions.. Know your worth... Block anything that ruins your happiness and peace of mind... Be confident , Higher self esteem and everything will fall into place...Pray and have faith in life and love(a man who was meant for you will come in time)... You are not alone in this and YOU ARE BETTER THAN THIS!! Best of luck baby girl
 
Duh!!! Kweli moyo sukuma damu s mengne. Ila inatokeaga mpaka mtu unajisikia vbaya. Na hivo mnafanya kazi pamoja yaani duh!! Unamuona kila saa roho inakuumaje sasa..poleee
 
Duuh.. Inanifanya nijisikie vibaya.. Lakini nakua na nguvu pale ninapoona bado natafutwa pia kwa wanaume wengine na pia vijana ninao wazidi hata umri. This means huyu mwanaume kweli I'm not his type..

Na hao wanaokutafuta they only want sex from you Bree ven
 
Also don't let your happiness depend on someone... Learn to love yourself more...Control your emotions.. Know your worth... Block anything that ruins your happiness and peace of mind... Be confident , Higher self esteem and everything will fall into place...Pray and have faith in life and love(a man who was meant for you will come in time)... You are not alone in this and YOU ARE BETTER THAN THIS!! Best of luck baby girl

Mh wanawake MNA ego, mwishowe hizo "k" zenu zitaota had fangasi lol ms nnana
 
Back
Top Bottom