Achaaaa umariooo mkuuuuMmmhhh pole sana kwa yaliokukuta ila kiukweli uyo HANA hisia na wewe au unakuchora tu ameshajua ni nini lengo lako ila akishindwa njoo kwangu maana natafuta majimama wanilee
Hahahaa, kweli mahindi humuotea asiye na meno.Wenzio wa umri huo saivi wanalea vijukuu,wewe bado unahangaika kujigonga kwa mtu asiyekutaka!
Pole,nyie ndo wale enzi za usichana wenu mlikua mnajidai kuchagua wanaume mara ooh nataka amazing man,handsome,lovly nd caring.
Usitusumbue tena..acha kubambia wanaume wa wenzio.

Nitafute nikwambie wanaume wa aina hiyo tukoje/tuna ingilika vipi.I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.
Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.
Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.
Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.
Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende.. Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.
Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...
Tofauti kati ya being in crush na real love its time.I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.
Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.
Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.
Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.
Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende.. Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.
Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...
Kwa kumsaidia tu wanaume wengi huwa hatukatai tukitokewa na demu so awe makin asije liwa mzigo jamaa akasepaNaona dalili za mbuzi mgonjwa akafia kwa muuza supu.![]()
![]()
Inaonekana jamaa haumo moyoni mwake, ndio maana akakujibu kama karibuni anaowa.
Kwanini usimwambie unavyojihisi moyoni mwako juu yake?Mimi siwezi kuzuwia hisia moyoni kabisa, nikikubaliwa poa nikikataliwa poa tu lakini la moyoni lishatoka.
Nashangaa kuomba kazi mnaweza tena kwenye interview mnajielezea vizuri hatari. lakini kumwabia mtu unamtaka mnashindwa.
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()
hahahahahaaaa... na kwa mtoto wa kike umri huo ni hatareeee mnooo.....so huyu anatakiwa kujitambua.....Miaka 29 jua kimeshaanza kufika magharibi unatafuta pa kujisitiri tu
Kwa kumsaidia tu wanaume wengi huwa hatukatai tukitokewa na demu so awe makin asije liwa mzigo jamaa akasepa
kweli kabisa mkuu.
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like serious, sina boyfriend hadi sasa. Although I had several crushes over some men, but neither of them didn't work because they were just crushes. Here I am again facing another case.
Kuna kijana nimetokea kumpenda jinsi alivyo tu, yaani I wish he can be more than a boyfriend nadhani naenda mbali kidogo. Kuna some coincidences zinatokea tunapokutana maana we work at the same place, to the extent that I think like he is mine. Kuna siku nilitamani kumwambia but I was so afraiding of speaking it out.
Kwa jinsi alivyo is like he is single nilikua tu namsoma nikajitoa kumuuliza status yake. Akanambia ataoa hivi punde, I will never forget nililia sana usiku. Yaani niliumia wiki nzima, ni kama kuachwa nadhani. Up to now I'm trying to move on and the guy doesn't know that he has broken my heart. Siku zinazidi kwenda afu sioni dalili za yeye kuoa, but I'm trying to let him go.
Japo kila nikifikiria naumia that's why najiuliza if it's just a crush or falling in love.. The man is good in keeping in touch with people in communication wise but unfortunately kwangu mimi ni kama may be I'm not his type although he is just a friend because he doesn't text me, sometimes he doesn't reply my texts, or even pick up my calls.
Inauma lakini ndo hivo inabidi nimuache aende.. Ijapokuwa kuna wakati nikijisikia upweke naumia, lakini ndo hivo afu kuna wakati natamani nimshirikishe jambo hasa la kufurahisha then napotezea maana ndo hivo najua atachukulia poa.
Yeye hunitafuta tu Pale akihitaji msaada wangu, otherwise he does not call or text. This makes me feel bad anyway he just doesn't know... Hakika moyo sukuma damu...

Kwa case ya huyu bi dada na alivyoelezea, akimwambia alafu akakataliwa she will feel like the whole world is striking against her. Less otherwise akubaliwe na hapo ndipo atakapokuwa na furaha kuliko wanawake wote duniani.Naona dalili za mbuzi mgonjwa akafia kwa muuza supu.![]()
![]()
Inaonekana jamaa haumo moyoni mwake, ndio maana akakujibu kama karibuni anaowa.
Kwanini usimwambie unavyojihisi moyoni mwako juu yake?Mimi siwezi kuzuwia hisia moyoni kabisa, nikikubaliwa poa nikikataliwa poa tu lakini la moyoni lishatoka.
Nashangaa kuomba kazi mnaweza tena kwenye interview mnajielezea vizuri hatari. lakini kumwabia mtu unamtaka mnashindwa.
Ndukiiiii![]()
![]()
![]()

Yaani nimeisoma hii story nimeipenda kuanzia mwanzo kufikia hapo chini nikasikitika tenaNakuonea huruma,kuna aina ya wanawake kama ww ambao ni wachache sana,mkipenda mnapenda kweli na mara nyingi huwa mnaangukia kwa wanaume ambao sio mliostahili,lakini mna nguvu kubwa sana ya kubadilisha mienendo ya maisha yao,lakini kubadilisha huku ni mpaka mtapoachana na atapoanza kujua thamani ya uwepo wake kwako,mnajitoa sana kwenye mahusiano yenu,lakini the worse thing huwa mnaangukia pabaya, niliwahi kuwa na girlfriend kama ww,aliyepitia hali kama yako
Siwezi kusema i was good to her,but i tried my level best ikafikia muda ule upweke wa miaka yote ukamuisha na akahisi am the right guy, ilifikia kipindi anatoa machozi ya furaha,kakaa tu anakutazama analia,ukimuuliza anakwambia sababu ni ww,u came into her life and change everthing,but guess what? Sikuwa mkweli kwake alipojua aliumia na akalia zaid ya yale machozi yake ya furaha..........

Yaani nimeisoma hii story nimeipenda kuanzia mwanzo kufikia hapo chini nikasikitika tena![]()
![]()