Am I a loner,selfish?

If at all this would be a serious problem.

what do you think would be the appropriate solution to it ?
 
Nimekuuliza dunia ya leo hakuna reliable communication? Mawasiliano yapo sana.
Ok, sikukuelewa, jibu ni YAPO,

Point yangu ni je unaweza kuwa na mahusiano ya mbali afu hamuwasiliani mara kwa mara ?
 
Ok, sikukuelewa, jibu ni YAPO,

Point yangu ni je unaweza kuwa na mahusiano ya mbali afu hamuwasiliani mara kwa mara ?
Mawasiliano ni muhimu....ila hata mkiwa na mawasiliano kama hamna honest na trust mawasiliano hayo yatakuwa ni mgogoro tu.
 
Swali hili nilitegemea liwe la kwanza. Sina demu mkuu. Ingekuwaje ningekuwa nae?
Kiongozi, huna hata wa kuisuuza nafsi wakati ukijisikia lonely?

Do you ever feel lonely?

Kabla ya kuoa nilikuwa napenda kukaa peke yangu, the whole weekend naweza kwenda church tu. But after that napenda kutumia mda wangu mwingi na familia. I bet ukija kuwa na familia utakuwa "a family man".
 
Labda upo moody? That's he'll of a habit!!
 
I made this very clear. Napenda kukaa mwenyewe, siboreki kwa sababu nimechagua hivyo. Nina marafiki wengi ambao nikiinua simu tu wanakuja au nawaambia naenda walipo, ila najisikia raha zaidi kukaa nyumbani na siboreki. Mfano tangu jana mpaka sasa hivi natoka kwenda dukani tu na kurudi ndani. Im not bored at all, im enjoying watching tv and browsing jf more than being around some people.

Sasa hali hii ya hata kukataa mialiko ya watu na kuona bora nikae mwenyewe ndio leo asubuhi nimeamka nikajiuliza may be im not normal.....but to my surprise wengi wamesema ni kawaida na waliojibu wengi wamesema wako kama mimi.
 
Mawasiliano ni muhimu....ila hata mkiwa na mawasiliano kama hamna honest na trust mawasiliano hayo yatakuwa ni mgogoro tu.
Inatokea honest na trust ipo lakini mawasiliano yapo ya kuungaunga, kutaendelea kuwa na uhusiano hapo ?
 
Possibly wengi wameonesha ku behave the same but sio justification kwamba hicho ni kitu cha kawaida, binafsi nina tabia hiyo lakini Nahisi sio tabia nzuri sana. Japo inakuepusha na uswahili\umbea wa mtaani.
 
Mhhhh..yawezekana ushakula bata sanaa kiasi kwamba nothing excites you anymore..
Spending the day alone I do that sometimes., but going out alone naaah...
Inabd upate mwanamke machepeleee hivi akuchangamshe....
 
Huyo ni introvert
Ni aina ya personality
Na watu wenye hiyo personality wanapata energy from within
 
Staying lonely most of the time.
staying lonely or alone?

Everyone needs some time alone sometimes. And young people without families get more time alone I guess, and it doesn't mean that they're lonely coz they're usually in search or have future plans for partners and families.

But when one makes it a lifestyle to middle age, i don't know, I wonder if single aged people are truly satisfied with that lifestyle. I thought RRONDO wouldn't give a genuine testimony, if he would've agreed to at all, that's why I didn't pressure him to.

I am pro relationship. Two is better than one. Just put yourself out there to find your partner.
 
Are you persuading him to go out to look for heartbreakers ?

Hell nah.
 
I decided not to respond coz u said u dont want my answer. But in short u got it completely wrong and put it the way u see it and its not what you think.

This thread is not about relationships, im not lonely by any means. There are people who know who i am probably they are laughing now. I value my me time more than sharing my time with other people, its nothing to do with loneliness or being senior bachelor or whatever u think it is.

But hey, its an open thread everyone can air their opinions.
 
Are you persuading him to go out to look for heartbreakers ?

Hell nah.
This guy is turning this thread into a complete wrong direction. Did i say im lonely because im single? Do u really know me? Kuna mtu nimemjibu kuwa majibu mengine unawapa watu to stop a conversation going to a different perspective, say what somebody want and like to hear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…