Am I a loner,selfish?

Am I a loner,selfish?

Teh teh teeeeeh! Haujui jf ni uraibu? Unaaga kwa id moja unarudi kwa nyingine.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kiswahili kweli sijakijua bado...maana yake nini hii?
 
RRONDO your my pacha ktk hili aisee!! Sipendi kutoka na nikitoka napenda kutoka mwenyewe. Unaweza nipigia simu nikakwambia nipo nje ya mji kumbe nipo tu home nimejifungia.
 
RRONDO your my pacha ktk hili aisee!! Sipendi kutoka na nikitoka napenda kutoka mwenyewe. Unaweza nipigia simu nikakwambia nipo nje ya mji kumbe nipo tu home nimejifungia.
Well, kumbe wengi sana tuko hivyo. Wataalam wengine wanasema tutakuwa na matatizo sio bure. Im still learning.
 
Duh asante sana, sikuwahi kujua hilo neno. Aibu neno la kiswahili naambiwa kwa kiingereza ndio nielewe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilijua nikikuambia kwa kiingereza utaelewa zaidi, tunabadilishana ujuzi wewe kwenye ile lugha nyingine mie kwenye hii.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilijua nikikuambia kwa kiingereza utaelewa zaidi, tunabadilishana ujuzi wewe kwenye ile lugha nyingine mie kwenye hii.
Ta, lass.
 
Hivi mchepuko ni gf?
Haukusema ni mchepuko, ulisema ni mchumba. Alafu hakuwezi kuwa na mchepuko kama hakuna njia kuu.

Sasaaaa kwahiyo hii ni fursa au?[emoji85] [emoji85]
 
Well, kumbe wengi sana tuko hivyo. Wataalam wengine wanasema tutakuwa na matatizo sio bure. Im still learning.
Wataalamu huwa wanajustify kila kitu. Ngoja tuwasikilize.
 
Well, kumbe wengi sana tuko hivyo. Wataalam wengine wanasema tutakuwa na matatizo sio bure. Im still learning.

1. Ni nani asiye na matatizo?

2. Huenda wenye matatizo ni hao wanaosema wenzao ndo wana matatizo.

3. Watu tumetofautiana kwa kila namna. Kama tofauti hizo ndo zinaitwa 'matatizo' basi kila mtu ana matatizo.

4. Wakati mwingine hao 'wataalamu' nao huwa hawajui chochote!!!
 
Back
Top Bottom