Am back frm ban.niliwamc sana wana MMU.

Am back frm ban.niliwamc sana wana MMU.

Punguza munkali ndugu

mambo mengne yanauz sana mkuu,huyo dogo ni mtu tunaejuana nae physically lakn cha kushangaza leo ananambia me ni bibie!
 
mkuu ulifanya kosa gani ili na sisi tujiadhari..
 
mkuu ulifanya kosa gani ili na sisi tujiadhari..

ni huko kwenye jukwaa la siasa,nliamua kumtolea uvivu jk ndo mods wakanilamba kifungo cha wk 1.
 
Kwani senetor ulifanya kosa gani.hebu lirudie kwa slow motion na sie tuprove!
 
Cna mengi ya kusema leo ncje nkapgwa ban nyingne,ila niwaambie tu aman ya bwana iwe pamoja nanyi!
kumbe kuna kuwekwa kifungoni dahh,basi ngoja niache kuuliza kilichokusibu mpaka ukapata red card
 
kumbe kuna kuwekwa kifungoni dahh,basi ngoja niache kuuliza kilichokusibu mpaka ukapata red card

mkuu humu jf uki2mia lugha mbaya 2 imekula kwako!
 
Nafanya jitihada za kukata Rufaa ya wewe kurudishwa tena Jukwaani, kifungo ulichopewa ni kidogo tofauti na kosa ulilolifanya. Invisibo itaku-Pm Rufaa ya huyu Kijana inabidi arudi ndani BAN mliompa ni ndogo mkilinganisha na Kosa.
 
acha zako mzalendo,usiombe yakukute.
 
Umeombwa urudie kwa slow motion kilicho kufanya ule ban sa mbona unapotezea?
 
Back
Top Bottom