Am back frm ban.niliwamc sana wana MMU.

Am back frm ban.niliwamc sana wana MMU.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Cna mengi ya kusema leo ncje nkapgwa ban nyingne,ila niwaambie tu aman ya bwana iwe pamoja nanyi!
 
tatizo ulikuja kwa kasi sana ndugu...............haya welcome back
 
Cna mengi ya kusema leo ncje nkapgwa ban nyingne,ila niwaambie tu aman ya bwana iwe pamoja nanyi!
Pole sana siku nyingine jifunze kuwa na ID mbili, zitakusaidia kujiexpress kwa uhuru zaidi bila kuogopa kufungiwa! Hata mi nimerudi jana!
 
karibuni nyote.jaribuni kufuata kanuni na sheria za jf.mi mwenyewe kesho nategemea kurudi ban tena.mwaka huu ntakufa na husninyo.mia
 
karibu tena. tumepata member mpya kutoka america.
 
Senotor mkuu karibu
Kumbe ulikuwa kifungoni
Karibu tena mkuu s
 
aisee mkuu kuna kajamaa kamejitambusha jana kanajiita seneta..alafu wewe ni senetor..
 
aisee mkuu kuna kajamaa kamejitambusha jana kanajiita seneta..alafu wewe ni senetor..

mkuu,mim ni mdau wa cku nying humu,na vile vile ni senetor wa ukweli toka texas.
 
Back
Top Bottom