Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Mna uhakika gani kama MAWAZO hatabadilika na kuisaliti CHADEMA kama alivyoamua kuisaliti CCM na Wananchi wa kata ya sombetini waliomuamini na kumpa kura mwaka 2010?
 
Mna uhakika gani kama MAWAZO hatabadilika na kuisaliti CHADEMA kama alivyoamua kuisaliti CCM na Wananchi wa kata ya sombetini waliomuamini na kumpa kura mwaka 2010?

Na nyie mna uhakika gani kama Shonza na Mwampamba hawawezi kuwasaliti kama walivyosaliti CDM?
 
Kwa wenyeji wa kanda ya ziwa kamanda Mawazo,anakubalika ni noma! jamaa anatisha ile mbaya,nimebahatika kukutana naye mara kibao katika oparesheni za chama na kila kona wanamkubali.IN SHORT MUNGU AMJALIE 2014 TUWE NAYE KATIKA UJENZI WA CDM.Karibu sana Magu kamanda!

Huyu Kamanda ni kati ya watu wanaochukiwa sana na maadui wa Chadema Kanda ya ziwa.
 
Haya mwmabie akulipe ujira wako make Bavicha ndo zenu hzo mwatumika kama big G,wapi Rudovid?
 
mkuu Molemo mi ninaishi kanda ya ziwa huyu jamaa ni maarufu sana sana huku.
ombi langu huyu jamaa aongezewe mtu wa kuhabarisha habari zake kwa umma na zikiwemo picha.

Pamoja sana Kamanda Marire.Suala lako ni mujarabu kabisa na litafanyiwa kazi.
 
Last edited by a moderator:
Hongera kamanda Mawazo chanja mbuga ..... Wadhihirishie ccm kuwa makamanda kutoka a town hawana mzaa hata kidogo mara zote wana maanisha wanachokisema hapa kazi kazi tu mpaka kieleweke. Acha magamba yatoke moshi hakuna kurudi nyuma
 
Huyu kamanda ndo tunatakiwa na makamanda wengine waige si jitu kama zito linajidai ndo cdm halafu hatuoni impact kigoma zaidi ya misifa yake ya kijinga eti ana akili, atoke atoke kina mawazo washike chama.

Kinachoangaliwa ni Impact ya Kamanda kwa chama chake.Haiangaliwi mtu kajiunga lini.Wanachama wote ni sawa mbele ya Katiba!
 
Na nyie mna uhakika gani kama Shonza na Mwampamba hawawezi kuwasaliti kama walivyosaliti CDM?

Shonza na Mwampamba hawakuisaliti CHADEMA bali CHADEMA kupitia Mzee Slaa ndio waliwasaliti vijana hawa machachari baada ya kuwafukuza bila kujali walikitumikia chama kwa uaminifu. Mawazo hakufukuzwa bali aliondoka kwa kuahidiwa uongozi na maslahi na Lema.
 
Katika watu ambao wako makini na ni wana siasa hasa tuliowapata kutoka CCM ni pamoja na Mawazo...

Anasema ameamua kuyatoa maisha yake kwa ajili ya kuwafumbua watu akili.Kuna wakati anatembea kwa miguu na usafiri wa bodaboda kwenye maeneo ya vijiji vya ndani kwenye ubovu mkubwa wa barabara.
 
Mtu hana nafasi yoyote katika chama anapata wapi ruksa ya kufanya mikutano, tumeona juzi Zitto Kabwe kwenda kuongea na wapiga kura wake tuliambiwa anakiuka taratibu za chama, hauwezi kufanya mikutano kama siyo kiongozi.

Kamanda Mawazo ni nani Chadema.

Ha ha ha ha cheko la babu yangu.
 
Mtu hana nafasi yoyote katika chama anapata wapi ruksa ya kufanya mikutano, tumeona juzi Zitto Kabwe kwenda kuongea na wapiga kura wake tuliambiwa anakiuka taratibu za chama, hauwezi kufanya mikutano kama siyo kiongozi.

Kamanda Mawazo ni nani Chadema.

RITZ ni kweli ni wewe tunayekusikia? Au umeiba jina la wengine? Masikini kweli inawezekana mitahani ulikuwa unafanyiwa!!
 
Shonza na Mwampamba hawakuisaliti CHADEMA bali CHADEMA kupitia Mzee Slaa ndio waliwasaliti vijana hawa machachari baada ya kuwafukuza bila kujali walikitumikia chama kwa uaminifu. Mawazo hakufukuzwa bali aliondoka kwa kuahidiwa uongozi na maslahi na Lema.

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? pole sana gamba uliyelemewa na mizigo mizito! 2015 tutawapumuzisheni.
 
ukitaka kujua kama Thamani yako ndani chadema jaribu kufanya yafuatayo
1. Jaribu kutanga nia ya kuutaka uenyekiti taifa
2. Jaribu kutangaza nia kuutaka u-raisi
3. Jaribu kuhoji kihusu mapato ma matumizi ya chama (ruzuku)

Mwulize Dr. Salim na Bashe yaliyowakuta walipotaka kugombea ndani ya ccm walipatwa na nini?
 
Back
Top Bottom