Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Kama kuna mtu anafanya kampeni za kitoto na za kijinga hapa JF ni Alphonce Mawazo, Ben Saanane na the so called Molemo. Kuna haja ya Mods kuchukua hatua dhidi ya hiki kikundi.

Huyo Molemo kakosea nini mpaka Mods wamchukulie hatua?
 
Last edited by a moderator:
jamani
huyu kamanda
muacheni aitwe Mawazo wakipatikana kama hawa sita CCM sijui atatokea
upande upi.....je chama kinafadhili hizi ziara anazozifanya au ni
wananchi wa maeneo ndio wanaomwita au vipi naomba kiongozi yeyote wa
chama aje ajibu hapa tuelewe.

Ikumbukwe MAGU ni sehemu ambayo ina mizizi ya upinzani sema chama
ambacho kilikita mizizi hapo magu NI UDP na walikua hawana strateg za
ushindi kila uchaguzi wao hua wanashinda lakini wanaporwa kutokana na
viongozi wao wakuu kua CCM B.

Ikumbukwe CHADEMA hawakua hata na mwenyekiti wa kitongoji Magu lakini
ziara alizofanya bila kuchoka kamanda huyu zimeonesha kuwafungua watu
macho leo hii tunashuhudia Magu CHADEMA ikianza kuchonga mzinga na
ikumbukwe alikua kule Bukoba ambako nako pia matunda yameonekana,kila
anapokwenda mabadiliko tunayaona naomba viongozi wengine huko msikae
ofisini kupigwa viyoyozi nendeni vijijini mkapige kazi.

Toka ameachia udiwani huyu mtu sijawai ona amepumzika

Molemo nashukuru sana kwa neno lako la shukrani uliloamua kuishirikisha
jamii,huwezi kujua nilivyofurahi kukuta uzi unaonihusu na ulivyouelezea
ki umahiri mkubwa,si wakati wote juhudi za mtu hutambuliwa na usishangae wengine wakanuna
 
Molemo nashukuru sana kwa neno lako la shukrani uliloamua kuishirikisha jamii,huwezi kukua nilivyofurahi kukuta uzi unaonihusu na ulivyouelezea ki umahiri mkubwa

Sasa Dr Emma John umetangaza kabisa kuwa wewe ndio kamada Mawazo Alphonce. Na uzi zote zinazoanzishwa na wewe kumsifia Mawazo ni zako mwenyewe ukijisafishia njia ya kuingia ufipa pale.
 
Last edited by a moderator:
:israel:Mungu amlinde ktk ziara zake kamanda MAWAZO, jana nilimwona akiwa Ngara na Dr Antony Mbasa (MB) wamewavua magamba wana ccm, wamepokea wanachama toka NCCR_Mageuzi, CUF na hata waliokua hawana chama walijiunga CHADEMA. Tumaini Makene & Ben SANANE je huyu kamanda wetu Mawazo anapata fungu kwaajili ya hizi ziara zake muhimu za ukombozi hasa huku kanda yaziwa??? NAOMBA JIBU.

Apewe fungu la nini?? Kwan nani alimtuma?? Kuna watu mna njaa sana chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini tuachee...? Mkuu tunamatumbo ya fisi tunameza kila kitu...

Hiyo ni kweli tupu..

Cc tunamjua mawazo huyo ni mtu wa viroba anatafu jimbo huko yeye na lema lao moja wapiga dili wote walikuwa Arusha na lema utajuta mkimpa nafasi
 
Cc tunamjua mawazo huyo ni mtu wa viroba anatafu jimbo huko yeye na lema lao moja wapiga dili wote walikuwa Arusha na lema utajuta mkimpa nafasi

Povu la nini wewe gamba? tulia dawa ikuingie vizuri!
 
Apewe fungu la nini?? Kwan nani alimtuma?? Kuna watu mna njaa sana chadema.

Umetumwa? chama kipo bega kwa bega na KAMANDA WETU MAWAZO! Ananikumbusha mtaa wa Bank MAGU tulipoyasambaratisha magamba! long live kamanda Mawazo.
 
jamani huyu kamanda muacheni aitwe Mawazo wakipatikana kama hawa sita CCM sijui atatokea upande upi.....je chama kinafadhili hizi ziara anazozifanya au ni wananchi wa maeneo ndio wanaomwita au vipi naomba kiongozi yeyote wa chama aje ajibu hapa tuelewe.


Ikumbukwe MAGU ni sehemu ambayo ina mizizi ya upinzani sema chama ambacho kilikita mizizi hapo magu NI UDP na walikua hawana strateg za ushindi kila uchaguzi wao hua wanashinda lakini wanaporwa kutokana na viongozi wao wakuu kua CCM B.

Ikumbukwe CHADEMA hawakua hata na mwenyekiti wa kitongoji Magu lakini ziara alizofanya bila kuchoka kamanda huyu zimeonesha kuwafungua watu macho leo hii tunashuhudia Magu CHADEMA ikianza kuchonga mzinga na ikumbukwe alikua kule Bukoba ambako nako pia matunda yameonekana,kila anapokwenda mabadiliko tunayaona naomba viongozi wengine huko msikae ofisini kupigwa viyoyozi nendeni vijijini mkapige kazi.

Toka ameachia udiwani huyu mtu sijawai ona amepumzika


Huyu Lema ni mtu wa kuogopa sana, ni bora umwache tu kuliko kushindana nae.
 
Kamanda Mawazo ni Zaidi ya Zitto kwa afya ya CHAMA
 
Sasa Dr Emma
John
umetangaza kabisa kuwa wewe ndio kamada Mawazo Alphonce.
Na uzi zote zinazoanzishwa na wewe kumsifia Mawazo ni zako mwenyewe
ukijisafishia njia ya kuingia ufipa pale.

Natamani kuwa Kamanda Mawazo,namfagilia sana,kama unafuatilia post zangu hii ni maq ya tatu kumwongelea,japo ni member wa miaka mingi,nimetumia nafsi ya kwanza,sijui kama upo.
 
Last edited by a moderator:
Mmezidi na siasa zenu za majitaka. Waambie na wenzako hao.

Unaweza kuorodhesha hizo siasa za majitaka? Miye sizijui?

Kueleza ukweli kuhusu Kamanda Alphonce Mawazo kwako ni siasa majitaka?

Kipi cha uongo nilichosema kuhusu Mawazo?
 
Molemo nashukuru sana kwa neno lako la shukrani uliloamua kuishirikisha
jamii,huwezi kujua nilivyofurahi kukuta uzi unaonihusu na ulivyouelezea
ki umahiri mkubwa,si wakati wote juhudi za mtu hutambuliwa na usishangae wengine wakanuna

Natamani kuwa Kamanda Mawazo,namfagilia sana,kama unafuatilia post zangu hii ni maq ya tatu kumwongelea,japo ni member wa miaka mingi,nimetumia nafsi ya kwanza,sijui kama upo.

Nimekuwekea tena post yako uisome kamanda Mawazo. Sio dhambi kujipalilia unga, hata bosi wenu Slaa ana ID zake kadhaa za kujifagilia.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Mkuu Molemo naomba kama unaweza kufanya mipango ya jinsi ya kuweza kupata mawasiliano yake au namana yoyote ambayo itafaa ilituweze kutupia hapo chochote kitu naomba wadau tumuunge mkono huyu kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom