Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,444
- 29,850
Cheo chake ni kipi Chadema.
Kuitwa Kamanda ni cheo toshaaa!!!!
Cheo chake ni kipi Chadema.
Cc.
mods - matusi yameruhusiwa jukwaani? Mana hii tabia inazidi kukomaa humu
Ni kamanda wa ukweli! Mungu amlinde akijenge chama! Tunamsubiri kwa hamu sana kwenye uchaguzi wa kata yake ya Sombetini!
Alphonce Mawazo alipojitoa CCM mwaka jana na kuingia CHADEMA wengi hawakumwelewa! Wengine walidhani kafuata madaraka tu,lakini Mawazo tayari alikuwa na madaraka makubwa tu CCM tena ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha.Alipojitoa CCM na udiwani ukaishia palepale.
Alphonce Mawazo kwa sasa jina lake linavuma kama moto wa Kiangazi huku Kanda ya ziwa.Ni mwanasiasa ambaye tangia ajitoe CCM na kujiunga Chadema ameamua kujikita vijijini huku Kanda ya ziwa kutoa elimu ya uraia na kueneza sera za Chadema.Anasimamia kwa vitendo operesheni ya chama sasa hivi ijulikanayo kama Chadema ni Msingi.
Kwa mwaka huu pekee Mwanasiasa huyu kijana ameweza kuzunguka kata na vijiji mbalimbali katika majimbo 30 ya Kanda ya ziwa.Katika majimbo hayo amefanikiwa kufanya mikutano ya hadhara 300.
Isitoshe kwa harakati zake hizi ameiwezesha Chadema kushinda vijiji na vitongoji mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizofanyika mwaka huu Kanda ya ziwa.
Ninapoandika habari hii yuko katika jimbo la Ngara akiendeleza harakati za Chadema ni Msingi.
Hongera sana Alphonce Mawazo kwa kazi kubwa uliyofanya mwaka huu na Mungu azidi kukusimamia katika mwaka mpya wa 2014.
Makala hii Fupi ni kuonyesha mchango wako mkubwa ndani ya Chadema uathaminiwa na hauwezi kupita bure.
Cheo chake ni kipi Chadema.
Mna uhakika gani kama MAWAZO hatabadilika na kuisaliti CHADEMA kama alivyoamua kuisaliti CCM na Wananchi wa kata ya sombetini waliomuamini na kumpa kura mwaka 2010?
Nina habari wananchi wa Busanda wanamtaka na wale wa Magu pia wanamtaka.Kuna ugomvi mkubwa kati ya wananchi wa majimbo hayo mawili.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? pole sana gamba uliyelemewa na mizigo mizito! 2015 tutawapumuzisheni.
Mawazo ni Mpambanaji wa kweli, asiyeogopa chochote, anawafahamu ccm in and out!
Mawazo ni Mbunge mtarajiwa 2015 kama dharura yoyote haitajitokeza hapa katikati
.......................
Hamtaki mnaacha
Mwulize Dr. Salim na Bashe yaliyowakuta walipotaka kugombea ndani ya ccm walipatwa na nini?
Huyu ni noma ulikuwa humjui?
Huku Arusha anafahamika sana, ni kichwa balaa ni sawa na Magamba
1,000,000
cheo chake kitakusaidia
nn wewe fisadi,chadema kazi tu cheo ni dhamana muda wowote kinatoka kama
kipusa chenu zito
Mawazo ni Mpambanaji wa kweli, asiyeogopa chochote, anawafahamu ccm in and out!
Mawazo ni Mbunge mtarajiwa 2015 kama dharura yoyote haitajitokeza hapa katikati
.......................
Hamtaki mnaacha
baadae akikataa kuwa msukule wa mbowe na slaa, mtaanza kusema msaliti mhahini
hua hamchelewi
Katika hili chama changu
chadema hawanifurahishi.. Huyu kamanda ziara zake zote anafanya bila
kuwa na msaada kutoka makao makuu,yeye anachofanya ni kutoa taarifa leo
ninafnya nini na nitakuwa wapi kama ni fedha anagenerate hukohuko field
(aina ya siasa za huyu mkuu kwa kweli hata mimi nashindwa kuzielewa).
Hata kama ni mtu ameanza siasa za one man army tayari ameonekana kuwa na
uwezo mkubwa tafaadhali makao tunaomba mumwangalie huyu kamanda!
Otherwise chadema ina hazina ya wapiganaji.
Braza umekuja kujimegea? Mimi naona Kamanda Mawazo unafaa kuchukua uenyekiti wa taifa na pia upewe nafasi ya kugombea urais kabisa. Maana kampeni yako hapa jukwaani umepanga vizuri.Tusiishi kwa kudhani
Safi sana..Tuntaka MAKAMANDA wa style hii...safi sana KAMANDA MAWAZO.....
jamani huyu kamanda
muacheni aitwe Mawazo wakipatikana kama hawa sita CCM sijui atatokea
upande upi.....je chama kinafadhili hizi ziara anazozifanya au ni
wananchi wa maeneo ndio wanaomwita au vipi naomba kiongozi yeyote wa
chama aje ajibu hapa tuelewe.
Ikumbukwe MAGU ni sehemu ambayo ina mizizi ya upinzani sema chama
ambacho kilikita mizizi hapo magu NI UDP na walikua hawana strateg za
ushindi kila uchaguzi wao hua wanashinda lakini wanaporwa kutokana na
viongozi wao wakuu kua CCM B.
Ikumbukwe CHADEMA hawakua hata na mwenyekiti wa kitongoji Magu lakini
ziara alizofanya bila kuchoka kamanda huyu zimeonesha kuwafungua watu
macho leo hii tunashuhudia Magu CHADEMA ikianza kuchonga mzinga na
ikumbukwe alikua kule Bukoba ambako nako pia matunda yameonekana,kila
anapokwenda mabadiliko tunayaona naomba viongozi wengine huko msikae
ofisini kupigwa viyoyozi nendeni vijijini mkapige kazi.
Toka ameachia udiwani huyu mtu sijawai ona amepumzika