Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Alphonce Mawazo mwanasiasa wa kuigwa CHADEMA

Kama Chadema ingekuwa inatoa Tuzo ya mwanachama na wanasiasa bora wa Mwaka kwangu mimi ni Alphonce Mawazo! Viva Mawazo, najua furaha yako ni kuona watanzania waliowengi wanaijua kweli, na kweli inawaweka huru!
 
Ni kamanda wa ukweli! Mungu amlinde akijenge chama! Tunamsubiri kwa hamu sana kwenye uchaguzi wa kata yake ya Sombetini!
 
Mtu hana nafasi yoyote katika chama anapata wapi ruksa ya kufanya mikutano, tumeona juzi Zitto Kabwe kwenda kuongea na wapiga kura wake tuliambiwa anakiuka taratibu za chama, hauwezi kufanya mikutano kama siyo kiongozi.

Kamanda Mawazo ni nani Chadema.

Ritz acha kutoa povu.. Mawazo hana shauri lolote na uongozi wa chama..
 
Last edited by a moderator:
Kwa wenyeji wa kanda ya ziwa kamanda Mawazo,anakubalika ni noma! jamaa anatisha ile mbaya,nimebahatika kukutana naye mara kibao katika oparesheni za chama na kila kona wanamkubali.IN SHORT MUNGU AMJALIE 2014 TUWE NAYE KATIKA UJENZI WA CDM.Karibu sana Magu kamanda!

Mkuu ahsante sana kwa kutambua mchango wa Kamanda Mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo umeongea uhalisia wote, Mara ya kwanza kumjua kamanda Mawazo ni mwaka jana mwez wa 8 ktk M4C morogoro mjini, Kwakwel kamanda anaweza sana na zaidi ana moyo wa kujitoa sana, Ana mchango mkubwa kwa chama.

Virusi kama Zitto waige mfano huu na sio kuvimba kichwa eti nimejiunga na CDM sijui nikiwa na miaka 16 so what?

Asante sana mkuu Shardcole
 
Last edited by a moderator:
Cheo chake ni kipi Chadema.

Unaonesha ulivyo mweupe kichwani! makamanda si waroho wa madaraka kama wale mamluki wenu! muda wa kuchaguliwa kuwa viongozi utafika tu na hatuna papara wala pupa! VIVA CDM
 
ukitaka kujua kama Thamani yako ndani chadema jaribu kufanya yafuatayo
1. Jaribu kutanga nia ya kuutaka uenyekiti taifa
2. Jaribu kutangaza nia kuutaka u-raisi
3. Jaribu kuhoji kihusu mapato ma matumizi ya chama (ruzuku)
 
Hakuna mtu mwenye matusi ya hovyo humu jamvini kama IFWEERO. Tena funga kabisa hicho choo chako.

Achana na huyo mkuu wangu.Tangu afukuzwe Chadema yuko kama amechanganyikiwa.Msamehe bure kwa sababu hata baba yake mdogo anayeishi naye anajua akili yake haiko sawa tangu afukuzwe!
 
Kazi anayofanya kamanda mawazo niya kupigiwa mfano. Wabinafsi wachache wanawananga walio hamia chadema juzi. much respect Mawazo
 
Alphonce Mawazo alipojitoa
CCM mwaka jana na kuingia CHADEMA wengi hawakumwelewa! Wengine walidhani
kafuata madaraka tu,lakini Mawazo tayari alikuwa na madaraka makubwa tu
CCM tena ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini
Arusha.Alipojitoa CCM na udiwani ukaishia palepale.

Alphonce Mawazo kwa sasa jina lake linavuma kama moto wa Kiangazi huku
Kanda ya ziwa.Ni mwanasiasa ambaye tangia ajitoe CCM na kujiunga Chadema
ameamua kujikita vijijini huku Kanda ya ziwa kutoa elimu ya uraia na
kueneza sera za Chadema.Anasimamia kwa vitendo operesheni ya chama sasa
hivi ijulikanayo kama Chadema ni Msingi.

Kwa mwaka huu pekee Mwanasiasa huyu kijana ameweza kuzunguka kata na
vijiji mbalimbali katika majimbo 30 ya Kanda ya ziwa.Katika majimbo hayo
amefanikiwa kufanya mikutano ya hadhara 300.

Isitoshe kwa harakati zake hizi ameiwezesha Chadema kushinda vijiji na
vitongoji mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizofanyika mwaka huu Kanda
ya ziwa.

Ninapoandika habari hii yuko katika jimbo la Ngara akiendeleza harakati
za Chadema ni Msingi.

Hongera sana Alphonce Mawazo kwa kazi kubwa uliyofanya mwaka huu na
Mungu azidi kukusimamia katika mwaka mpya wa 2014.

Makala hii Fupi ni kuonyesha mchango wako mkubwa ndani ya Chadema
uathaminiwa na hauwezi kupita bure.

Mungu akubariki kwa tribute,kutambua kazi za watu wengine ni uungwana
 
Napendekeza Kamanda Mawazo nafasi ya Zitto ili aweze kuonyesha ufanisi wake.
Mijitu Kama Zitto huwa inanitia sana hasira na misifa yake ya kijingajinga alafu no ufanisi zaidi ya kiburi, Ndiomana Mungu alisema atainua hata mawe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu
Molemo umeongea uhalisia wote, Mara ya kwanza
kumjua kamanda Mawazo ni mwaka jana mwez wa 8 ktk M4C morogoro mjini,
Kwakwel kamanda anaweza sana na zaidi ana moyo wa kujitoa sana, Ana
mchango mkubwa kwa chama.

Virusi kama Zitto waige mfano huu na sio kuvimba
kichwa eti nimejiunga na CDM sijui nikiwa na miaka 16 so what?

Well said aiseee,na mm namukubali
 
Last edited by a moderator:
Unaonesha ulivyo mweupe kichwani! makamanda si waroho wa madaraka kama wale mamluki wenu! muda wa kuchaguliwa kuwa viongozi utafika tu na hatuna papara wala pupa! VIVA CDM

swali la msingi lilikuwa hili hapa

Mtu hana nafasi yoyote katika chama anapata wapi ruksa ya kufanya mikutano, tumeona juzi Zitto Kabwe kwenda kuongea na wapiga kura wake tuliambiwa anakiuka taratibu za chama, hauwezi kufanya mikutano kama siyo kiongozi.

Kamanda Mawazo ni nani Chadema.
 
Kama Chadema
ingekuwa inatoa Tuzo ya mwanachama na wanasiasa bora wa Mwaka kwangu
mimi ni Alphonce Mawazo! Viva Mawazo, najua furaha yako ni kuona
watanzania waliowengi wanaijua kweli, na kweli inawaweka huru!

Hata mimi kura yangu angeipata@Mathias
 
Mkuu Kimbunga

Siku akijaribu kugombea na siku ndiyo itakuwa safari ya kurudi Magu.

Ulitaka wawepo wenyeviti wangapi? makamanda tupo imara na hatuna uchu ma madaraka kama hao m.a.b.w.e.g.e MM'S
 
Last edited by a moderator:
Kajitoa CCM baada ya kuona mwenzake Wenje kaupata ubunge. Na ndicho anachokitaka ili achumie tumbo lake sasa, hizo harakati kwa nini asizifanye Arusha au anaogopa kipigo toka kwa Lema?
 
Kama Chadema ingekuwa inatoa Tuzo ya mwanachama na wanasiasa bora wa Mwaka kwangu mimi ni Alphonce Mawazo! Viva Mawazo, najua furaha yako ni kuona watanzania waliowengi wanaijua kweli, na kweli inawaweka huru!

Naunga mkono wazo lako Mathias Lyamunda.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom