Amesemaje kuhusu gongoAlphonce Mawazo alipojitoa CCM mwaka jana na kuingia CHADEMA wengi hawakumwelewa! Wengine walidhani kafuata madaraka tu,lakini Mawazo tayari alikuwa na madaraka makubwa tu CCM tena ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha.Alipojitoa CCM na udiwani ukaishia palepale.
Alphonce Mawazo kwa sasa jina lake linavuma kama moto wa Kiangazi huku Kanda ya ziwa.Ni mwanasiasa ambaye tangia ajitoe CCM na kujiunga Chadema ameamua kujikita vijijini huku Kanda ya ziwa kutoa elimu ya uraia na kueneza sera za Chadema.Anasimamia kwa vitendo operesheni ya chama sasa hivi ijulikanayo kama Chadema ni Msingi.
Kwa mwaka huu pekee Mwanasiasa huyu kijana ameweza kuzunguka kata na vijiji mbalimbali katika majimbo 30 ya Kanda ya ziwa.Katika majimbo hayo amefanikiwa kufanya mikutano ya hadhara 300.
Isitoshe kwa harakati zake hizi ameiwezesha Chadema kushinda vijiji na vitongoji mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizofanyika mwaka huu Kanda ya ziwa.
Ninapoandika habari hii yuko katika jimbo la Ngara akiendeleza harakati za Chadema ni Msingi.
Hongera sana Alphonce Mawazo kwa kazi kubwa uliyofanya mwaka huu na Mungu azidi kukusimamia katika mwaka mpya wa 2014.
Makala hii Fupi ni kuonyesha mchango wako mkubwa ndani ya Chadema uathaminiwa na hauwezi kupita bure.
Alphonce Mawazo alipojitoa CCM mwaka jana na kuingia CHADEMA wengi hawakumwelewa! Wengine walidhani kafuata madaraka tu,lakini Mawazo tayari alikuwa na madaraka makubwa tu CCM tena ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha.Alipojitoa CCM na udiwani ukaishia palepale.
Alphonce Mawazo kwa sasa jina lake linavuma kama moto wa Kiangazi huku Kanda ya ziwa.Ni mwanasiasa ambaye tangia ajitoe CCM na kujiunga Chadema ameamua kujikita vijijini huku Kanda ya ziwa kutoa elimu ya uraia na kueneza sera za Chadema.Anasimamia kwa vitendo operesheni ya chama sasa hivi ijulikanayo kama Chadema ni Msingi.
Kwa mwaka huu pekee Mwanasiasa huyu kijana ameweza kuzunguka kata na vijiji mbalimbali katika majimbo 30 ya Kanda ya ziwa.Katika majimbo hayo amefanikiwa kufanya mikutano ya hadhara 300.
Isitoshe kwa harakati zake hizi ameiwezesha Chadema kushinda vijiji na vitongoji mbalimbali katika chaguzi ndogo zilizofanyika mwaka huu Kanda ya ziwa.
Ninapoandika habari hii yuko katika jimbo la Ngara akiendeleza harakati za Chadema ni Msingi.
Hongera sana Alphonce Mawazo kwa kazi kubwa uliyofanya mwaka huu na Mungu azidi kukusimamia katika mwaka mpya wa 2014.
Makala hii Fupi ni kuonyesha mchango wako mkubwa ndani ya Chadema uathaminiwa na hauwezi kupita bure.
Cheo chake ni kipi Chadema.
Ataharibikia huko mana ataanza kumwagia watu tindikali, kupora wake za watu na kula ruzukuKatika watu ambao wako makini na ni wana siasa hasa tuliowapata kutoka CCM ni pamoja na Mawazo...
Cc.Kumpa raha $()@?%% yako
Una hakika kwamba hajatumwa?
Apewe Uenyekiti wa Taifa ili akiimarishe chama.
Sijua kama watatoa jibu?wakifanya wengine mikutano chadema maandamano wanalialiaCheo chake ni kipi Chadema.
Huyu kamanda ndo tunatakiwa na makamanda wengine waige si jitu kama zito linajidai ndo cdm halafu hatuoni impact kigoma zaidi ya misifa yake ya kijinga eti ana akili, atoke atoke kina mawazo washike chama.