engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Haya sasa Babu mzee Mugabe hatimaye machimbo yake ya almasi sasa yaruhusiwa kuuza almasi yake ktk masoko ya kimataifa,baada ya kufungiwa kwa mda kutokana na wanaharakati kudai kuwa almasi hiyo huuzwa kwa magendo na inatokana na mauwaji
sasa ni mwendo mdundo babu mugabe atauza almasi yake bila vikwazo
sasa ni mwendo mdundo babu mugabe atauza almasi yake bila vikwazo