Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

Mie naona kama boss wake kaomba radhi inatosha. Tusiwavunje moyo vijana hawa kesho ndio watashika usukani wa nchi
Duuuhh. Mkuu hata kama boss wako akikuombea msamaha, kwa busara inabidi na wewe uombe msamaha ili watu waone kweli umejutia kosa na uko tayari kufanya kazi nao. Hata hili ndugu unaweka utetezi!!!!!??? Hata kama ni ndugu yako akikosea ni vema ukakubali na kumshauri. Hili halina ukada ndugu.
 
Shida ni kwamba wamepewa nafasi, wanazitumia vibaya kwa ku deal na wanaohisi ni wabaya wao. Shida iko hapo tu, ingawa sio wote. Kule Mbeya RC Chalamila nae anataka ku deal na Sugu kama ambavyo Hapi ana deal na Msigwa. Infact wanajijengea makaburi yao wenyewe
Simlisema vijana hawapewi nafasi wanaambiwa wao ni taifa la kesho sasa imekuwaje tena?
 
Kwanini hukutoa tamko mara tu baada ya tukio lile?
Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
 
Duuuhh. Mkuu hata kama boss wako akikuombea msamaha, kwa busara inabidi na wewe uombe msamaha ili watu waone kweli umejutia kosa na uko tayari kufanya kazi nao. Hata hili ndugu unaweka utetezi!!!!!??? Hata kama ni ndugu yako akikosea ni vema ukakubali na kumshauri. Hili halina ukada ndugu.
Tunapohungama kwa padre au tunaposali ile sala ya kujutia dhambi zetu ndo unasali wewe kama wewe ila hili nadhani jafo anatosha
 
Shida ni kwamba wamepewa nafasi, wanazitumia vibaya kwa ku deal na wanaohisi ni wabaya wao. Shida iko hapo tu, ingawa sio wote. Kule Mbeya RC Chalamila nae anataka ku deal na Sugu kama ambavyo Hapi ana deal na Msigwa. Infact wanajijengea makaburi yao wenyewe
Mbona jokate mumemsema hivihivi. Ni vyema vijana mkaa focused kujua nini hasa munachokihitaji.
 
Pale UDSM alikuwa mjinga hivi hivi
Huyu jamaa ana asili ya usaliti nakumbuka UDSM alishawahi wasaliti watu kipindi sijui ni mbunge au spika katika kuapisha watu jamaa nilinafiki la kutupwa
 
Unataka kusema vijana ni taifa la kesho? Huyu ni kiongozi kijana ndio kwanza kashika wadhifa tumuunge mkono na sio kumbeza kwa kila afanyalo. Kakosea sawa siajirekebishe maisha yasonge
Ajirekebishe tu ila sisi hatutaacha kumsema na akiendelea na huo upuuzi hatutaacha kumsema yeye na huyo aliyemteua!
 
Vijana wengine ndo hawa Jf midomo yao imejaa uchafu uliohifadhiwa katika mioyo yao.

Wanakosoa kwa matusi kana kwamba wao ni Malaika.

Wacha wazee watuongoze tu.
Simlisema vijana hawapewi nafasi wanaambiwa wao ni taifa la kesho sasa imekuwaje tena?
 
Mkuu wa teuzi ndio akili ziko backbencha kabisa.. Madogo kama hawa anawatumia vibaya
 
Acha tu wafate nyayo za baba.......nani aliyekwambia mtoto wa nyoka, atakuja kuwa paka?!!!!

#Tukae pembeni, tujifunze kitu.
 
Huyo bwana mdogo Hapi anadhani yeye ndiyo yeye katika huo mkoa, hivi hajui kuwa kabla hajazaliwa hapo walikuwepo magwiji kama Dr Kleruu?.
Vyeo vinapita ila athari za maamuzi ya kuumiza watu kwa sababu ya ulevi wa madaraka ni hatari sana!
Kwa kweli hatumuombei happy mabaya ila dawa ya watu kama yeye ni mwamwindi!
 
Tafuta ujue, we mwana JF gani usiyejiongeza, habari za Ali Hapi zimeenea toka juzi, jana zimesambaa dunia nzima DW, BBC zilifika.
Mbona hamsemi huyo Hepi alifanya nini? JF ya siku hizi inachosha sana
 
Back
Top Bottom