Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Waziri Jaffu amejua kosa la Happi, Wewe unajua kilichojiri Au umekuwa Kama bendera?, uelekeo wa Upepo unakuwa ndio wa bendera?
soma ujumbe huo wa MAT ukimaliza
Waziri Jaffu amejua kosa la Happi, Wewe unajua kilichojiri Au umekuwa Kama bendera?, uelekeo wa Upepo unakuwa ndio wa bendera?
Ha ha ha duuuJokate anajitahidi huko Kisarawe lakini Jerry Muro is a disaster kule Aru meru eti anafunga ofisi ya Mbunge kwavile hakai ofisini!! Mbunge hatakiwi kuwa ofisini anatakiwa awe na waliomchagua!!!
Inabidi aombe radhi tujue kama kwel kakiri amekosea ila akiendelea kukaa kimya ni ujeuri na hafai kuwaongoza watanzaniaUnataka kusema vijana ni taifa la kesho? Huyu ni kiongozi kijana ndio kwanza kashika wadhifa tumuunge mkono na sio kumbeza kwa kila afanyalo. Kakosea sawa siajirekebishe maisha yasonge
Kama kosa lake halivumiliki wazir jafo hasingemuombea msamaha kwenye chama cha madaktari. Jafo ni muelewa na anajua wapi Hapi kajikanyagaUzi upo page ua tatu Kote Ni Matusi dhidi ya RC lakin hatuambiwi kafanya nini!
Pengine Kosa la Huyo Daktari Bingwa halivumiliki Au Pengine Ni la jinai kabisa lakin tumekariri
Kwa kwwli alichofanya Ally Happy alikosea sana, dunia inatucheka, udaktali ukiachana na mapungufu yake( hapa tz) its cobsidered a holy job, holy responsibility.Kuwa kiongozi ni karama ambayo ukipewa lazima uitunze na kufuata misingi yote muhimu. Wewe baada ya kupewa u RC Iringa ukadhani adui yako ni mwakilishi wa wananchi Mch.Msigwa badala ya umasikini.
Pia watumishi wa umma ukawaona kama takataka mbele yako ambao wengi wao wameitumikia nchi hii kwa miaka mingi kwa uadilifu mkubwa sana.
Sasa wewe ukaleta hayo na ona sasa yanakutumbukiza shimoni kisiasa kwa kasi usiyotegemea.
Ulipaswa kulazimishwa kuomba radhi hadharani au uwajibike. Utajikuta kama Wema.View attachment 912420
Haijalishi as long as Jafo kamwombea msamaha basi Ali hapi ni mkosaji.Mnaojadili hili suala wenyewe ni makanjanja kama mnayoyaongea kuhusu RC. Wengine hatujui nini kimetokea tunauliza hatujibiwi watu wamekaza shingo na vidole tu. Hivi hakuna hata mmoja hapa anayeweza kutoa taarifa kwa ufupi tu kilichotokea? Au ndo ujuaji mwingi?
Sasa kwanini hakumtumbua kama alimaanisha? Magu tunayemfahamu anaweza kukuteua saa mbili asubuhi na akakutumbua saa 3 asubuhi!Hata Jiwe alijuta kumpa ukuu wa mkoa; siku ile baada ya kumuapisha alidiriki kusma kuwa angeyajua mapema mambo yaliyoshamili Kinondoni angeliweza kumtumbua!!!
Rais amefurahi sanaKwani yy kama kiongozi muungwana kuomba msamaha kashindwa nini?
We can not buy this, Rais atafakari upya
Mbona hawasemi kosa la Happi?Waziri Jaffu amejua kosa la Happi, Wewe unajua kilichojiri Au umekuwa Kama bendera?, uelekeo wa Upepo unakuwa ndio wa bendera?
Kati ya mawaziri ambao JPM ali wini kuwachagu Jaffo ni mmoja wapo jamaa yuko smart sana hana mihemko ya kijingaSio mara ya kwanza Jaffi kusema hivyo!Hawa vijana vijana wanalewa madaraka!Mpaka sasa vijana wote walio katika uteuzi wa kisiasa serikalini wamefeli!
Rc alimtumbua Doctor mkuu wa Hosp ya wilaya.. inshort tu japo kaingilia taratibu za taasisi ya afya.Mnaojadili hili suala wenyewe ni makanjanja kama mnayoyaongea kuhusu RC. Wengine hatujui nini kimetokea tunauliza hatujibiwi watu wamekaza shingo na vidole tu. Hivi hakuna hata mmoja hapa anayeweza kutoa taarifa kwa ufupi tu kilichotokea? Au ndo ujuaji mwingi?