King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Chukua mwenye kengele, afu ukamfyeke. Mbona wao.wanatupenda na mawigi yetu afu wanatuambia tunyoe nywele?
Nina allergy na kengele za wanaume a.k.a pu... Yaani nikimpata ambaye hana ntakuwa nimepona kabisa ugonjwa wangu