allergy

allergy

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu bhana...
Hope muko byeee
kuna watu huwa wana allergy..mf.me nikila dengu huwa koo linavimba. Hebu tuambie wewe una allergy na nini??????
 
Nna allergy na wake za watu, nikiongea nao tu najihisi ki temeketemeke
 
Nina Aleji na Jukwaa la wakubwa..........
 
Mie nina allegy na short hand writting ya hivi vitoto vya dot come....mara sasa inaandikwa Xaxa gosh nikipata sms za namna hiyo nakereke sana..@ Charminglday.
 
Mie nina allegy na short hand writting ya hivi vitoto vya dot come....mara sasa inaandikwa Xaxa gosh nikipata sms za namna hiyo nakereke sana..@ Charminglday.
Duh... Pole thana Buswelu ukipata sms kama hiyo uwe unamrekebisha mwandishi
 
Last edited by a moderator:
Mi nikinywa juice ya passion au nanasi naumwa kifua
 
Nina allergy na kengele za wanaume a.k.a pu... Yaani nikimpata ambaye hana ntakuwa nimepona kabisa ugonjwa wangu
 
Back
Top Bottom