Mwanamuziki Nandy: Pesa ya Kununua Gari yangu hii ya Kifahari ingekuwa ni ya Kula ningetumia Tsh Laki Moja kila Siku kwa Miaka 60 ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,697
109,125
Wengine mna tuvigari twenu twa Shilingi Milioni Tatu hadi Saba huku Mikopo ya Kulipia mkiwa bado hamjamaliza mkiwa mitaani Mnaringa na kujiona ni Matajiri na Maisha mmeshayapigia Denge Kimafanikio wakati kumbe bado ni Njaa Kali ( Kapuku ) kama GENTAMYCINE.

Halafu kwa Uchoyo wa Lifti mnaongoza na Gari zenu huwa hamzifanyii kabisa Usafi hadi Mende, Panya na Mijusi ya Balangulu huwa Wanazaliana.

Nandy akiringa ni sawa tu kwani Kweli anazo ( ni Tajiri ) kama alivyosema Mwenyewe kuwa anamiliki Gari ya Bei mbaya ( ya Gharama ) ambayo Pesa aliyoinunulia kama angesema aitumie kwa Matumizi yake ya Nyumbani ( ya Chakula ) basi angetumia Shilingi Laki Moja kwa kila Siku kwa muda wa Miaka 60 ijayo.

Kudadadeki............. Shikamoo Nandy!!
 
Abebe pochi original sasa!
 
Back
Top Bottom