Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

Nilikuwa najiuliza inakuwaje wale wazungu wanaleta kachero kwenye mazungumzo?
 
Mi binafs cjawah kusikia vyombo vya habar hivyo vinavyoitwa vya kimataifa vikimulika mazur ya nchi za afrika

Cjawah kuckia wazitangaza nchi zetu kwa wema ktk masikio ya dunia.

From CNN,VOA,BBC,FOX,DW,aljazeera, vyombo vyenye kuenda sanjar na maslah ya mataifa yao na mashirika yao ya kijasus

Na ndo mana mrusi kawaweza sana kupitia RUSSIA TODAY
Hadi wanamfanyia figisu figisu za kidiplomasia America.
sasa mkuu wasifie nini wakati TBC wanasifia kila kitu kibaya kizuri wenyewe ni shikiria hapo hapo we are on the right track hahahahaha lol TANZANIA yangu
 
Mkuu
Una matatizo ya kutokusoma btn the lines
Au umekariri kikasuku namna ya kujib hoja.

Samahan
Umeona sehem yyte kwny andiko langu sehem nlyoandika neno"sifa au kusifia"??
 
Basi Na hapa kwetu Maandamano yame fail Kama kwao Qatar Kwa kuwa hatujachoshwa Na Watawala
Media hazipo kwa ajili ya kuhabarisha vitu chanya nyakati zote,hawawezi kukuonesha safari za dar-mwanza kila mara ila watakuonesha kila ajali,al sisi ni mkandamizaji wa demokrasia tu na kibaraka wa magharibi,al jazeera hawana sera za ubalakala
 
Aljazeera ndio kitu gani?? Kina msaada gani kwetu kuanzia kiuchumi hadi kiutamaduni?? Eti kimechambua sa baada ya kuchambua kimeyapika au kimeyakaanga?? Yan kuna baadhi ya watu hata hamjielewi yan ili mradi dunia inazunguka na nyinyi mnazunguuka nayo tu wala hamjui mtatelemkia...hebu kuweni wazalendo kwa nchi yenu acha kuwashwa washwa
 
Media hazipo kwa ajili ya kuhabarisha vitu chanya nyakati zote,hawawezi kukuonesha safari za dar-mwanza kila mara ila watakuonesha kila ajali,al sisi ni mkandamizaji wa demokrasia tu na kibaraka wa magharibi,al jazeera hawana sera za ubalakala

Natamani ningekuelewa japo sijafanikiwa kukuelewa Mkuu
 
Kk
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Kama hawawezi kuandamanishwa sasa zile kauli za viongozi kuwa ole wake atakayefanya hivyo ataenda kuwasimulia wazazi wake zilitolewa ili iweje?Pia na kauli ya polisi ilitolewa ili iweje?Na polisi walizagaa barabarani ili iweje?Tusipende kujadili mapokeo badala ya uyakinifu.
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..

Kwa taarifa yako mtu yoyote anaweza kuwaandananisha watanzania ili mradi aguse hisia zao. Kilichozuia ni wale polisi waliokuwa wamejipanga na silaha za moto. Mifani midogo tu, nenda kwenye nyumba za ibada uone jinsi watu wanavyolundikana na kupewa matumaini hewa na hao wahubiri huku wakikamuliwa hela kwa jina la Sadaka, zaka, fungu la kumi nk.

Angalia kwenye safari za rais watu wanavyojazana kwenye zinduzi za rais tena kwa miradi iliyokuwa ikifanya kazi mbele ya macho yao hata miaka mitatu nyuma. Anazungumza jinsi mradi huo mpya utakavyowasaidia na wao wanabaki kushangilia.

Watu ambao utakuta wamejazana kushangaa bulldozer likichimba barabara watashindwa kuandamana? Hao watu tunaowakuta wamejazana kwenye michezo ya karata tatu, watashindwa kuandamana kweli? Sema sio watanzania wote wataandamana. Na siku ile polisi wasingejitokeza kuzuia usingeamini macho yako hiyo nyomi.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
mmh sio kweli,.. Tz watu waoga na hawapend kupigwapigwa ovyooooo. Polisi wasingejidai kutoa vtisho na kuandaman wenyew, au wangeahidi kutoa ulinzi ungeona hali ingekuaje. .tuwe wa kweli Polisi ndio waliozuia sio kisa eti matusi ya mange
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Una balaa wewe, nchi zote ulizotaja ni za kidikteta, kumbe Aljazeera wako sahihi kabisa. Bravo Aljazeera.
 
Wamewakomboa wa Libya kutoka kwenye U Dikteta wa Libya Sasa wapo kwenye Utumwa Mtu anauzwa Kwa dola mia nne yaani Bei ya binadamu Ni ndogo kuliko ya Boda Boda
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..

Aljzeera na vyombo vingine vya magharibi ni wapuuzi wakubwa...achana nao...
 
Janga la Taifa tena kubwa sana. Angalia yeye anavyojichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge lakini ikitokea njaa sehemu yoyote ile nchini atafurahi kuona Watanzania wanakufa kwa kukosa chakula “Wache wafe” utadhani pesa hizo anazitoa mfukoni mwake wakati ni pesa za walipa kodi wa Tanzania! Eti kiongozi ambaye yuko radhi kuona raia wanakufa na yeye kuuchuna bila kutoa msaada wowote ule!!!!!

Magufuli tu ndo kafanya Tanzania ianze kujadiliwa na Vyombo vya habari vya kimataifa. Jamani huyu ni Mhutu, mtanzania hawezi kuichafua Nchi kimataifa kiasi hicho.
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Kwahyo walichoripot aljazeera ni uongo hakikutokea Tanzania
 
Mkuu wanafanikiwa kuchochea pale penye dalili ya kuwaka Moto! Ukiona wanachochea ujuwe kuna Mfalme Juha ktk Nchi husika ama kisha haribu amani au anaelekea kuhatarisha amani. Hoja yako hapa haina mashiko zaidi tu imejaa unafiki Mkubwa
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Mtabakia hvyo hvyo vilaza nyie mkiambiwa ukweli mnasema uchochezi sjui mabinadamu mengine mkoje?bola mngekuwa mazombi tuu mkajulikana
 
Back
Top Bottom