prs
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 2,642
- 3,376
Tatizo siyo Uhuru wa Kutoa Maoni..Bali Uhuru baada ya Kutoa Maoni..Uhuru wa kutoa maoni UPI unautaka mbona upo hapa unatoa maoni?

Upande wa Serikali si Huyo Mkuu wa Polisi amesema watapata Kipigo cha Mbwa koko!!Wameshamaliza kushangaa?waambie na vibaraka wao tunawashangaa pia!uongo & umbea ndo kazi yao.....tumeshawagundua!clip ya chadomo hiyo na ndo walioandaa maandamano!mbona hawakuhoji upande wa serikali?habari iko balanced?wanatofauti gani na radio /tv ufipa street?[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Na ndio waliochochea mpaka Tundu Lissu, Akwilini Akwilini, Azory Gwanda, Saguta Heche, Alphonce Mawazo wakapigwa RISASI na POLISI MCHANA KWEUPEEEEEAl Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Na ndio waliochochea mpaka Tundu Lissu, Akwilini Akwilini, Azory Gwanda, Saguta Heche, Alphonce Mawazo wakapigwa RISASI na POLISI MCHANA KWEUPEEEEE
Mikutano ya kisiasa inakusaidia nini?,Uhuru wa kutoa maoni UPI unautaka mbona upo hapa unatoa maoni?,tatizo mmekaririshwa na wanasiasa.Fanya kazi zako kujitafutia kipato.Huyo kahaba Mange mganga njaa tu USA tofauti ni yupo nje ya nchi tu.
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Mbona mkiambiwa ukweli mnatoa povu kama mumekunywa omo? Nyie viumbe toka syari gani msiokosolewa?
Hii awamu yenu mbona hatuwaelewi kila mtu adui yenu, wazungu mmesema wezi, wachochezi, wanawaonea gere nyie matajiri.Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Nakubakiana na wewe kua AlJazeera ni wachochezi. Lakini kwa case ya Tanzania, wamechochea kitu gani?.Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Mkuu panua wigo wako na ufikiri nje ya box, unafikiri unawajua hao masheikh zaidi ya serikali?,hao watu wa Cocobeach kwenye viloba unajua vizuri story yao au unasikiliza story za wanasiasa?,. Ishu hapa ni maandamano ya Mange yamefeli na atazidi kuchemka tu.Nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wawakilishi hapa.Huyo Mange sijui Aljazeera wote ni mapandikizi ya mabeberu ila hapa TZ wameingia choo cha kike.Alimtia nani kwenye mfuko wa plastic na kumtupa Coco beach?? Hivi Wale masheikh waliobambikizwa kesi za ugaidi Kwa kudai haki katika uvamizi uliopewa jina la muungano ndio wako huru kule Segerea?
Hii awamu yenu mbona hatuwaelewi kila mtu adui yenu, wazungu mmesema wezi, wachochezi, wanawaonea gere nyie matajiri.
Channel kubwa km bbc na aljazeera nazo wachochezi. duh nyie matajiri wa mdomoni bhana mnazingua sana.
Kila anayekosoa kwenu mchochezi, kila anayewashauri nyie kwenu mchochezi, mmekuta nchi hii ni rafiki wa kila taifa ile leo wazungu mabeberu na wachochezi, wanataka kuwaibia nyie matajiri , waarabu nao wamekuwa wachochezi, what is problem with you guys.
Kwa kweli this time wananchi tulio wengi wa nchi hii tutaishi maisha mabaya sana lakini nyie mnaolipwa vimiatanotano lumumba angalau bhana hamtapauka.
Nakubakiana na wewe kua AlJazeera ni wachochezi. Lakini kwa case ya Tanzania, wamechochea kitu gani?.
Mtu kutoa maoni tofauti Na yako ni kutoa povu?, Halafu mnajiita wapigania uhuru wa kujieleza
Nenda Uingereza ukaseme una uhuru wa kumkashifu Malkia kama unavyotaka uone. Uhuru una mipaka yake popote pale duniani wewe kibwengo.Uhuru wa kuzungumza uhuru wa kutoa maoni uhuru wa kudai haki kama unahisi umenyimwa...
muuwajiiAl Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu