Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na kahaba mtukanaji Kama MANGE?.. Mods futa huu upuuzi PLEASE.
Uhuru wa kuzungumza uhuru wa kutoa maoni uhuru wa kudai haki kama unahisi umenyimwa. Mpuuzi ni wewe kama.hawakuandamna ni hawakuandamana mbona mumefungia mikutano ya kisiasa ? Acheni muone
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
hujasomeka mkubwa
 
BBC, DW na VOA je?
 
Wenyewe wanasema “ watanzania tembeeni kifua mbereee, we’re on the right track”, mhimu ni maendeleo . Wengine wanasema haina maana kama hayo maendeleo yatakuwa nje ya uhuru (ref: Lwaitama). Nawakumbusha tuwahi foleni kuelekea mji wa ahadi kwani ofisini hapakaliki na mitaani ni mafuriko (ref: Bagonza)
 
Uhuru wa kuzungumza uhuru wa kutoa maoni uhuru wa kudai haki kama unahisi umenyimwa. Mpuuzi ni wewe kama.hawakuandamna ni hawakuandamana mbona mumefungia mikutano ya kisiasa ? Acheni muone
Mikutano ya kisiasa inakusaidia nini?,Uhuru wa kutoa maoni UPI unautaka mbona upo hapa unatoa maoni?,tatizo mmekaririshwa na wanasiasa.Fanya kazi zako kujitafutia kipato.Huyo kahaba Mange mganga njaa tu USA tofauti ni yupo nje ya nchi tu.
 
Ndio matatizo yenu wafirika kama ukahaba ni yeye na kitu yake na kule ni kazi inayotambuliwa kisheria. Kama haisaidii mbona lumumba wameipiga marufuku? Tufuate katiba na sheria sio blah blah zenu
 
Mikutano ya kisiasa inakusaidia nini?,Uhuru wa kutoa maoni UPI unautaka mbona upo hapa unatoa maoni?,tatizo mmekaririshwa na wanasiasa.Fanya kazi zako kujitafutia kipato.Huyo kahaba Mange mganga njaa tu USA tofauti ni yupo nje ya nchi tu.
Uhuru wa kutoa maoni bila kuwa anonymous!
 
Kasome motive za kuanzisha hizo radio huku ukikumbuka Moja ya features za Imperialism ni ku control uwezo WA kufikiri Na kuwaza Watu wengine
basi sawa tuipongeze TBC kwa kuchana mawimbi hadi EAGYPT
 
Back
Top Bottom