muuwajii
Unachukia amani Halafu Pia Muoga wa Kipigo Cha Mbwa Koko
muuwajii
Mi binafs cjawah kusikia vyombo vya habar hivyo vinavyoitwa vya kimataifa vikimulika mazur ya nchi za afrika
DuhBBC, DW na VOA je?
Wewe fala kweli unataka kufananisha na ufalmeNenda Uingereza ukaseme una uhuru wa kumkashifu Malkia kama unavyotaka uone. Uhuru una mipaka yake popote pale duniani wewe kibwengo.
MkuuHivi unahitaji shahada ngapi kujua kuwa Mashirika ya Kimataifa ya Habari lengo lao Ni ku protect Maslahi Yao Sio kuhabarisha Dunia?, kinachokusumbua ni ukosefu wa Elimu Na Habari juu ya role ya media hizo ntakupa mfano Mmoja tu
Mkuu wa BBC aliwahi kujiua Kwa kufichua Habari kuwa Tony Blaire alienda kupiganisha Vita Iraq huku akiwa Na taarifa za kipelelezi kuwa Iraq Haina Silaha za Maangamizi
Marekani hivi karibuni Tena Kwa Mara zaid ya Moja Askar wenye Silaha waliwaua Kwa Silaha za Moto Vijana wenye asili ya Africa kwenye mini Yao ulisikia VOA Au Aljazeera wakipiga Kambi kule kulalamikia Hali hiyo?
Inawezekana kweli wanakosoa lakin Mimi natazama motive Na msukumo Wao unaowasukuma kukosoa
Hivi Uhuru wa kujieleza wa Saudi Arabia na Tanzania Kwa kulinganisha upi upo juu? Mbona hao VOA, DW Au BBC hawamshambulii Mfalme Salmaan Kwa ubabe Na Mauaji?
Museven Mwaka wa ngapi huu anatawala kibabe
Na kimafya Mbona hajasulubiwa kama Mugane?
Kuna Uhalifu gani kafanya Mugabe ambao Museven hajafanya Au Kagame hajafanya Mbona Rwanda Na Uganda haikutengwa kimataifa?

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Amani kwanza mengine baadae
Kweli huu ni upuuzi lakini upuuzi huu haushindi upuuzi wa Dikitekta Magufuli. Nchi ya viwanda vya kuuwa Watanzania. Mhutu wa Kagame hakosi wafuasi kama nyinyiHuu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Magufuli tu ndo kafanya Tanzania ianze kujadiliwa na Vyombo vya habari vya kimataifa. Jamani huyu ni Mhutu, mtanzania hawezi kuichafua Nchi kimataifa kiasi hicho.
Ndo uwaulize mbna hawakutoka mapovu tulikpokuwa na rais 'dhaifu' na ufisad kila kona?????Haihitaji hata form kujua kwamba awamu hii ni awamu ya chuki na uadui. Kwani BBC na ALJAZEERA hazikuwepo kwenye awamu ya 3 na 4! mbona hatukuona haya.
Ukishaona uongozi umejaa malalamiko na visingio vingio jua uongozi hauna mpango kazi wa maendeleo. Yaani ukiangalia awamu za 3 na 4 zilikuja na mipango mizuri sana ya maendeleo kama MKUKUTA, MKUZA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, SARGOT, UCHUMI WA GESI na NK Hii mipango ililenga kuexpand uchumi wa nchi lakini leo hakuna kitu, hawana mpango wowote zaidi ya kututajia mamiradi yanayoconsume pesa peke yake, miradi ya kuingiza pesa hakuna.
Awamu zilizopita mbona wazungu walikuwa rafiki zetu tu, kila mtu rafiki hata ikitokea kasoro inasolviwa kidplomasia tu inaisha lakini leo ndugu yangu ni kujifanya sisi ndio wababe. Juzi benki ya dunia imetaja nchi zinazokua kiuchumi haraka sisi wa mkiani huko.
Hii awamu itatulisha majani sisi walalahoi
Utaona
Hakuna ufala wala nini. Ni ukweli mtupu.Wewe fala kweli unataka kufananisha na ufalme
Wala hakishangazi. Huo ndiyo mfumo wao wa kiutawala. Sisi tuna mfumo wa kidemokrasia (at least on paper). Kama mnataka kumfanya Magufuli mfalme, mnaweza
Amani? Yaani sijui kwanini mnajidanganya Tanzania kuna amani. Amani Magufuli analndea na walinzi wenye silaha za kivita? Sijawahi kuona Rais wa Tanzania akilindwa kama Magufuli.
Na hakuna amani sehemu ambayo hakuna haki. Amani na haki ni kama samaki na maji. Bila maji samaki haishi. Bila haki amani haipo.
Mkuu
Nlchogundua n kuwa jf kuna baadhi watu wenye upeo duni sana kias cha kwamba kama tungekuwa tunajadiliana ana kwa ana basi wala usingepoteza mda hata wa kukaa nao tu
Wenyewe wanasema “ watanzania tembeeni kifua mbereee, we’re on the right track”, mhimu ni maendeleo . Wengine wanasema haina maana kama hayo maendeleo yatakuwa nje ya uhuru (ref: Lwaitama). Nawakumbusha tuwahi foleni kuelekea mji wa ahadi kwani ofisini hapakaliki na mitaani ni mafuriko (ref: Bagonza)
MkuuWewe fala kweli unataka kufananisha na ufalme
Hapo kwny ufalme na demokrasia kumenshawish nkuone kdg unasubjectivity kwny kuchambua mambo.Wala hakishangazi. Huo ndiyo mfumo wao wa kiutawala. Sisi tuna mfumo wa kidemokrasia (at least on paper). Kama mnataka kumfanya Magufuli mfalme, mnaweza kufanya hivyo, kwani CCM ni chama dola: Bunge, Mahakama na Serikali ni zenu. Waambieni wabunge wenu wapeleke mabadiliko ya kuondoa dempkrasia, na kuleta monarchy. Hutonisikia nikilalamikia demokrasia tena.
Yaani mnashangaza kweli ninyi maCCM. Mnatawala Bunge, lakini mnashindwa kufuta demokrasia, ambayo mnadai inawacheleweshea maendeleo!!
Amani? Yaani sijui kwanini mnajidanganya Tanzania kuna amani. Amani Magufuli analndea na walinzi wenye silaha za kivita? Sijawahi kuona Rais wa Tanzania akilindwa kama Magufuli.
Na hakuna amani sehemu ambayo hakuna haki. Amani na haki ni kama samaki na maji. Bila maji samaki haishi. Bila haki amani haipo.
Huyu kapiga 1.5 trillion!!mnajufanya hajui!Ndo uwaulize mbna hawakutoka mapovu tulikpokuwa na rais 'dhaifu' na ufisad kila kona?????
Kwani inawasaidia nini CCM?Mikutano ya kisiasa inakusaidia nini?,U.
Cheap crapy wordsHuyu kapiga 1.5 trillion!!mnajufanya hajui!
wanashangaa baba mzima kama magufuli msomi wa PHD kuendeshwa na mtukanaji kama Mange kujificha chi ya kapeti ha ha kipara ngoto kapatikanaHuu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..