Aljazeera yachambua maandamano ya Mange, yaishangaa Serikali

Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae[/QUOTE

Tatzo uelewa,unaelewa nini maana ya ANALYSIS
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae

Vipi watu elfu 2 kupigwa risasi ni kitu kizuri/halali kwako?. WaAfrika aliyrturoga sijui nani
 
Aliekuroga Ni aliekufundisha kuchukua neno Moja kwenye Maelezo Na ku conclude ukijisindikiza Na sikitiko

Walipigwa risasi watu elfu mbili ili kunusuru kuingiza Taifa kwenye Vurugu nyingine kubwa zaid

Idadi ya ambao wangekufa Kwa kuporomoka Kwa Al sisi ingekuwa kubwa zaid Na Kama huelewi angalia wanaokufa Libya baada ya kufanikiwa kuporomoka Kwa Colonel Gaddafi jee Bado hawajafika elf 2?
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Wanafikiri akili za Watanzania za kitukanaji kama za Mange! Stress zake asituletee watanzania. Yeye aendelee na maisha yake huko ugaibuni!
 
Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
[emoji1] [emoji1] watanzania wepi hao?? Mtukanaji kakutukana tusi lipi??
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Thenkyuuu vere macheee in makinda voice

Sasa ndugu yangu unataka wasifie??

Mbona walichoonesha ni ukweli?? Uchochezi gani unefanyika??

Halafu next time ukiwa unaandika jifunze kuandika vizuri hapa sio jukwaa la wajinga wenzio wa Lumumba una andika na mwandiko wa kilumumba Lumumba
 
Mikutano ya kisiasa inakusaidia nini?,Uhuru wa kutoa maoni UPI unautaka mbona upo hapa unatoa maoni?,tatizo mmekaririshwa na wanasiasa.Fanya kazi zako kujitafutia kipato.Huyo kahaba Mange mganga njaa tu USA tofauti ni yupo nje ya nchi tu.
binadamu ni tofauti na kuku au mbwa hawa viumbe kwao kula ndio kila kitu,binadamu ana mahitaji zaidi ya kula hivyo uhuru wa kujitafutia kipato pekee haumtoshi,uhuru huo uendane na mahitaji mengine kama uhuru wa kutoa maoni na kushiriki siasa.mwenzio anataka kufungia mitandao na kesi za maoni ya watu mitandaoni zinazidi.
 
Niweke kwenye ignore list hutoona tena my comments

JF wameweka hiyo options Kwa ajili hiyo
Unajua wakati mwingine kusoma urojo wa wana jf wa aina yako ni sehemu ya burudan za jf! Sikuweki ignore list "NG'OO"
 
Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu

Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda

Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a

Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao

Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.

Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka

Amani kwanza mengine baadae
Nimebofya kitufe cha like
 
Back
Top Bottom