Kama umeshatembelea nchi nyingi duniani, usishangae unaposema unatoka TZ watu hawajui hii nchi ipo wapi. Mimi huwa wanafikiri natokea Tasmania ambayo ipo Australia. Bongo hakuna anayeijua zaidi ya Commonwealth countries. Na nyingine sasa hivi hawaijui kabisa. Nilishangaa Bangladesh kila mtu alikuwa ananiuliza Nigeria? no, Kenya? No, Ghana? No. Then they ask, your country? Ukisema Tanzania wanafikiri Tasmania. Wakati Mwalimu alitembelea Bangladesh mara mbili baada ya wao kujikomboa toka Pakistan. Na yeye ndo alikuwa mstari wa mbele kuanzisha non align contries. Wanamfahamu nyerere kila kona but not Tanzania. Kinachofanya Bongo ijulikane sasa ni huyu Rais wetu mpendwa ambaye kila kukicha anakuja na matamko na vituko kama hicho. Ndo maana BBC, CNN, Al jezira na wengine wataanza kuangazia kwetu. Mlizoea kuona Somalia, Rwanda, Kenya na nchi nyingine sasa subiri sisi tutakuwa front line.Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Tanzania hawajitambui!Al Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Wangeonyesha zile Noah zetu wakati zinagawiwa kwa kila raia.Wangetenda haki kwa kutuletea documentary ya makinikia yanayowahusu ndo wareport na yetu.waambie na huku kuna vibaraka wameshikwa na butwaa nao ya makinikia hawayaoni wanaona demokrasia tu
Niweke kwenye ignore list hutoona tena my commentsKusema ukweli humu jukwaani mzee Pohamba sijawahi kumuelewa abadan. Ima ni moja kati ya wazee wasio na busara kabisa au Dishi itakuwa linayumba kila mawingu yakitanda. Kwa kifupi ni miongoni mwa hasara za taifa letu pendwa.
Nchi yetu imekuwa maarufu sio kwa mabaya Kama unavyodhani.Hapa hakuna njaa wala vita Kama unavyodhani, hii sio Sudan wala Somalia, mfano mdogo Kama unafatilia ishu ya madawa kuna matajiri wakubwa BrazilBrazil, South America, USA, South Africa ambao wanamlalamikia JPM sababu kadhibiti madawa ya kulevya, kuna wabongo Johanesburg michongo haiendi sababu unga hauendi tena, wote hawa wanamchukia JPM na serikali yake, wamiliki wa migodi ya dhahabu ambao wengine ni maraisi wastaafu wa nchi za USA na CANADA hawawezi mpenda JPM na haohao ndo shareholders wa CNN, BBC,ALJAZEERA etc, mifano ni mingi ila hawa wote ni maadui wakubwa wa JPM, hakuna nchi inaongoza kwa kumiminiana risasi kila siku Kama USA lakini mbona CNN,BBC hawaripoti?,nchi ambayo raia wanamiliki AK 47 na SMG ndo mnaziona bora, za nini mitaani?,tukirudi kwa Mange anatumika,vile vile Tundu Lissu, serikali inajua mengi Sana.Baada ya hawa wazungu kudhibitiwa kwenye madini na JPM wanajaribu kupitia upinzani wananchi wafarakane hilo limeshindikana, tumeshtuka mapema ndo maana tumedhibiti upinzani,wanajaribu kupitia MANGE nayewatachemka tu ,hapa sio Misri wala Tunisia, serikali ipo makini Sana.Hii nni vita ya uchumi,nyie mmeshikiwa akili na Mbowe hamuwezi kuelewa, mtaelewa huko mbeleni.TZ wajinga wengi ukiruhusu maandamano watapitia humo humo kufanya yao waweza kushangaa likategwa bomu kwa gharama yoyote ionekane ni serikali, vijana mitandaoni wametawaliwa na uCDM na uCCM hawana data kinachoendelea Ila haki ya Mungu atakayeizingua serikali atatwangwa kweli.Kama umeshatembelea nchi nyingi duniani, usishangae unaposema unatoka TZ watu hawajui hii nchi ipo wapi. Mimi huwa wanafikiri natokea Tasmania ambayo ipo Australia. Bongo hakuna anayeijua zaidi ya Commonwealth countries. Na nyingine sasa hivi hawaijui kabisa. Nilishangaa Bangladesh kila mtu alikuwa ananiuliza Nigeria? no, Kenya? No, Ghana? No. Then they ask, your country? Ukisema Tanzania wanafikiri Tasmania. Wakati Mwalimu alitembelea Bangladesh mara mbili baada ya wao kujikomboa toka Pakistan. Na yeye ndo alikuwa mstari wa mbele kuanzisha non align contries. Wanamfahamu nyerere kila kona but not Tanzania. Kinachofanya Bongo ijulikane sasa ni huyu Rais wetu mpendwa ambaye kila kukicha anakuja na matamko na vituko kama hicho. Ndo maana BBC, CNN, Al jezira na wengine wataanza kuangazia kwetu. Mlizoea kuona Somalia, Rwanda, Kenya na nchi nyingine sasa subiri sisi tutakuwa front line.
Heri usijulikane kuliko kujulikana kwa ubaya. Kenya inajulikana kwa Riadha, machafuko na demokrasia ya kubadilishana vyama. Nigeria wanajulikana kwa mpira wa mguu, riadha, machafuko. Uganda walitangazwa na Idd Amin Dada kuanzia hapo jicho huwa lipo na bado litaendelea kuwepo ingawa development projects zinatangazwa kama wanavyofanya Kenya na Nigeria. Somalia jibu unalo. Wakati wa Mchonga kila akienda UN akitoa hotuba, hakuna aliyetoka. Leo marais wetu huwa wanahutubia third world countries wengine hawana interest.
Tunaenda Zimbabwe iliyokuwa ya Mugabe siyo ya sasa. Subiri mmeshaambiwa kama hamtakuwa na chakula mjiju mvua zinanyesha. Kaweka matuta mangapi Magogoni? Tembea uone. Bahati mbaya nchi niliyopangiwa kufanyia kazi sasa hivi nipo mtz pekee hivyo nashindwa hata kueleza nchi yangu.
Nilitaka kukujibu kuwa watu wote duniani huanzia kwenye maandamano. Almenia Rais kang'oka mwenyewe bila hata risasi moja kumiminwa. Je wangekaa kimya kizazi kijacho si kingewalaumu. Wewe kula bata ila wajukuu zako watakulaumu kwa post yako hii.
Kama umeshatembelea nchi nyingi duniani, usishangae unaposema unatoka TZ watu hawajui hii nchi ipo wapi. Mimi huwa wanafikiri natokea Tasmania ambayo ipo Australia. Bongo hakuna anayeijua zaidi ya Commonwealth countries. Na nyingine sasa hivi hawaijui kabisa. Nilishangaa Bangladesh kila mtu alikuwa ananiuliza Nigeria? no, Kenya? No, Ghana? No. Then they ask, your country? Ukisema Tanzania wanafikiri Tasmania. Wakati Mwalimu alitembelea Bangladesh mara mbili baada ya wao kujikomboa toka Pakistan. Na yeye ndo alikuwa mstari wa mbele kuanzisha non align contries. Wanamfahamu nyerere kila kona but not Tanzania. Kinachofanya Bongo ijulikane sasa ni huyu Rais wetu mpendwa ambaye kila kukicha anakuja na matamko na vituko kama hicho. Ndo maana BBC, CNN, Al jezira na wengine wataanza kuangazia kwetu. Mlizoea kuona Somalia, Rwanda, Kenya na nchi nyingine sasa subiri sisi tutakuwa front line.

Usi cherry pick vya kujibu.
Pili, unaweza kusema neno amani kwako linamaanisha nini?
Nimekwambia amani bila haki ni bila bila.
Kama umenisoma vizuri nimekueleza nchi yetu haijulikani sababu hatuna majanga. Sasa hivi vyombo vya habari vinaiangazia hasa baada ya matukio tunayoyaona awamu hii ya tano. Waandishi wa habari huwa wana umoja hivyo akipotea mmoja dunia nzima, wanaiweka habari kubwa. Rudia kusoma na mifano niliyoitoa.Nchi yetu imefaha
Nchi yetu imekuwa maarufu sio kwa mabaya Kama unavyodhani.Hapa hakuna njaa wala vita Kama unavyodhani, hii sio Sudan wala Somalia, mfano mdogo Kama unafatilia ishu ya madawa kuna matajiri wakubwa BrazilBrazil, South America, USA, South Africa ambao wanamlalamikia JPM sababu kadhibiti madawa ya kulevya, kuna wabongo Johanesburg michongo haiendi sababu unga hauendi tena, wote hawa wanamchukia JPM na serikali yake, wamiliki wa migodi ya dhahabu ambao wengine ni maraisi wastaafu wa nchi za USA na CANADA hawawezi mpenda JPM na haohao ndo shareholders wa CNN, BBC,ALJAZEERA etc, mifano ni mingi ila hawa wote ni maadui wakubwa wa JPM, hakuna nchi inaongoza kwa kumiminiana risasi kila siku Kama USA lakini mbona CNN,BBC hawaripoti?,nchi ambayo raia wanamiliki AK 47 na SMG ndo mnaziona bora, za nini mitaani?,tukirudi kwa Mange anatumika,vile vile Tundu Lissu, serikali inajua mengi Sana.Baada ya hawa wazungu kudhibitiwa kwenye madini na JPM wanajaribu kupitia upinzani wananchi wafarakane hilo limeshindikana, tumeshtuka K ndo maana tumedhibiti upinzani,wanajaribu kupitia MANGE nayewatachemka tu ,hapa sio Misri wala Tunisia, serikali ipo makini Sana.Hii nni vita ya uchumi,nyie mmeshikiwa akili na Mbowe hamuwezi kuelewa, mtaelewa huko mbeleni.TZ wajinga wengi ukiruhusu maandamano watapitia humo humo kufanya yao waweza kushangaa likategwa bomu kwa gharama yoyote ionekane ni serikali, vijana mitandaoni wametawaliwa na uCDM na uCCM hawana data kinachoendelea Ila haki ya Mungu atakayeizingua serikali atatwangwa kweli.
Mtukanaji kama mange anawaandamisha polisi tu, mtukanaji kama mange alisababisha mkuu kutotumia gari la wazi kwenye sherehe za muungano.Huu upuuzi mlishauleta hapa ukakosa support bado mnauleta tena?, hivi kuna MTU hajaamini kilichotokea kwamba watanzania hawawezi kuandamanishwa na mtukanaji Kama MANGE?..
Nadhani tuwafungie na Hapa kwetuAl Jazeera imefungiwa Egypt Kwa Uchochezi Na kazi Yao Ni Uchochezi tu
Walichochea Wa Egypt wamtoe Hosni Mubarak wakafanikiwa, baadae wakachochea Tena Wamisri wamtoe Al sisi Watu wakaingia Mtaani Watu elf 2 wakapigwa risasi za Moto Na kufa japo Al sisi hakutoka Kwao ikawa ajenda
Walichochea Watu Liby, Tunisia, Algeria, Syria Na Maeneo Mengi tu Kwa kigezo Cha kupigania Demokrasia a
Cha kushangaza Nchini kwao hao Aljazeera ( Qatar) wanaongozwa Na Utawala wa Kifalme Na hawajawahi kuzungumzia hizo Demokrasia kwenye Nchi zao
Hivi Sasa Nchi zote kubwa za Kiarabu wameiwekea Vikwazo Qatar Kwa sababu kadhaa mojawapo Ni television Yao ya Aljazeera kuwa ndio Wachochezi wa kubwa wa Vurugu.
Kwa Tanzania Inshallah hawatopata wanachokitaka
Amani kwanza mengine baadae
Mhutu wa Kagame? huu mstari unaonesha jinsi ulivyokilaza.Kweli huu ni upuuzi lakini upuuzi huu haushindi upuuzi wa Dikitekta Magufuli. Nchi ya viwanda vya kuuwa Watanzania. Mhutu wa Kagame hakosi wafuasi kama nyinyi
Kama umeshatembelea nchi nyingi duniani, usishangae unaposema unatoka TZ watu hawajui hii nchi ipo wapi. Mimi huwa wanafikiri natokea Tasmania ambayo ipo Australia. Bongo hakuna anayeijua zaidi ya Commonwealth countries. Na nyingine sasa hivi hawaijui kabisa. Nilishangaa Bangladesh kila mtu alikuwa ananiuliza Nigeria? no, Kenya? No, Ghana? No. Then they ask, your country? Ukisema Tanzania wanafikiri Tasmania. Wakati Mwalimu alitembelea Bangladesh mara mbili baada ya wao kujikomboa toka Pakistan. Na yeye ndo alikuwa mstari wa mbele kuanzisha non align contries. Wanamfahamu nyerere kila kona but not Tanzania. Kinachofanya Bongo ijulikane sasa ni huyu Rais wetu mpendwa ambaye kila kukicha anakuja na matamko na vituko kama hicho. Ndo maana BBC, CNN, Al jezira na wengine wataanza kuangazia kwetu. Mlizoea kuona Somalia, Rwanda, Kenya na nchi nyingine sasa subiri sisi tutakuwa front line.
Heri usijulikane kuliko kujulikana kwa ubaya. Kenya inajulikana kwa Riadha, machafuko na demokrasia ya kubadilishana vyama. Nigeria wanajulikana kwa mpira wa mguu, riadha, machafuko. Uganda walitangazwa na Idd Amin Dada kuanzia hapo jicho huwa lipo na bado litaendelea kuwepo ingawa development projects zinatangazwa kama wanavyofanya Kenya na Nigeria. Somalia jibu unalo. Wakati wa Mchonga kila akienda UN akitoa hotuba, hakuna aliyetoka. Leo marais wetu huwa wanahutubia third world countries wengine hawana interest.
Tunaenda Zimbabwe iliyokuwa ya Mugabe siyo ya sasa. Subiri mmeshaambiwa kama hamtakuwa na chakula mjiju mvua zinanyesha. Kaweka matuta mangapi Magogoni? Tembea uone. Bahati mbaya nchi niliyopangiwa kufanyia kazi sasa hivi nipo mtz pekee hivyo nashindwa hata kueleza nchi yangu.
Nilitaka kukujibu kuwa watu wote duniani huanzia kwenye maandamano. Almenia Rais kang'oka mwenyewe bila hata risasi moja kumiminwa. Je wangekaa kimya kizazi kijacho si kingewalaumu. Wewe kula bata ila wajukuu zako watakulaumu kwa post yako hii.
kweli"""From mtetezi wa wanyonge to dikteta kamili linalodharauliwa na wananchi
hahaaa""" mtihani sana chief"" haya majamaa yanatumia nguvu kubwa mnooo kuukandamiza ukweli"""Hii awamu yenu mbona hatuwaelewi kila mtu adui yenu, wazungu mmesema wezi, wachochezi, wanawaonea gere nyie matajiri.
Channel kubwa km bbc na aljazeera nazo wachochezi. duh nyie matajiri wa mdomoni bhana mnazingua sana.
Kila anayekosoa kwenu mchochezi, kila anayewashauri nyie kwenu mchochezi, mmekuta nchi hii ni rafiki wa kila taifa ile leo wazungu mabeberu na wachochezi, wanataka kuwaibia nyie matajiri , waarabu nao wamekuwa wachochezi, what is problem with you guys.
Kwa kweli this time wananchi tulio wengi wa nchi hii tutaishi maisha mabaya sana lakini nyie mnaolipwa vimiatanotano lumumba angalau bhana hamtapauka.
mkuu"" hivi unawajua mabeberu vyema au unawasikia"" kwahiyo na hizo akili zako unaamini kabisa kuwa mange anatumwa na mabeberu"" hivi Tanzania ilishawahi kuwa na nguvu kama Iraq" imeshawahi " kurusha hata kaji satellite angani"" yaani kila kitu tunachotumia ni matokeo yatafiti za hao mabeberu halafu unajitapa kuwa mabeberu hapa tz wameingia choose cha kike ..unawaaminisha wenzio kuwa mabeberu hawana chakuifanya tz....aiseee"" hebu acha story za kwenye vijiwe vya kahawa ilipo..."" kama unataka kweli kuijua nguvu ya hao mabeberu " kautafute vyema mwisho wa Adolf Hitler " kautafute vyema mwisho wa Abraham Lincoln'' kautafute vyema mwisho wa hayati'' Adolf Hitler'''' kisha ndio uje hapa kutulisha haya matango pori"""Mkuu panua wigo wako na ufikiri nje ya box, unafikiri unawajua hao masheikh zaidi ya serikali?,hao watu wa Cocobeach kwenye viloba unajua vizuri story yao au unasikiliza story za wanasiasa?,. Ishu hapa ni maandamano ya Mange yamefeli na atazidi kuchemka tu.Nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wawakilishi hapa.Huyo Mange sijui Aljazeera wote ni mapandikizi ya mabeberu ila hapa TZ wameingia choo cha kike.
Dah! Anyways, basi sawa. Maana najadiliana na 'robot'.Ukiona Lissu kapigwa Risasi Halafu Kelele Kila eneo watu wanalaani maana yake Sio tukio la kawaida Kwa Mazingira yetu Kwa kuwa kuna Amani
Burundi Waziri kulipuliwa Kwa Guruneti Sio breaking news Kwa kuwa kuna vita
Lissu angekuwa Somalia kupigwa kwake Risasi isingekuwa breaking news