Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Aljazeera wanafungasha virago kutoka Marekani na kurejea kwao Qatar, baada ya kukosa watazamaji na hivyo kushindwa kijiendesha imefikia wakati wanapata watazamaji 20 000 tu sasa hi hailipi kulingana na uwekezaji walioufanya!
Je hapa kuna cha kujifunza? Kuna majibu kama kuna mtu alikuwa ana maswali ya kwanini Wazungu wameendelea klk sisi Waafrika!
Pamoja na ukweli kwamba Al jazeera amewekeza fedha nyingi, amechukuwa Wahandishi wa habari mahiri kabisa na kuwalipa vizuri, pmj na kuwa na vipindi vingi na vizuri wakati mwingine klk hata vya Kimarekani lkn Mzungu bado haangalii Aljazeera TV na sababu kubwa ni Moja, SIYO TV ya Kimarekani!
Tofauti na sisi hapa kwetu kila mtu ameng'ang'ania DW, BBC wengine mpaka French TV na China na chochote tutakachokisikia ktk BBC ndiyo tutakiamini na chochote kitakachosemwa na vyombo vyetu vya Habari tutapuuza!
Na hiyo ndiyo tofauti!
Habari ktk Al Jazeera inaaminika klk Habari ktk TBC au ITV!
Imefikia mahali ili mtu aaminike ni lazima aseme BBC wamesema na hili ni mpaka hao wanaojiita wasomi, yaani kama BBC hiyo ndiyo UKWELI namba Moja Duniani!

Last edited: