Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,563
- 59,633
Mleta mada hii kwanza ungeangalia historia ya Al Jazeera maana hao Al Jazeera walianza na vipindi vyao vya kiarabu wakiwa Emirates na walikuwa wanarusha udhalimu wanaoufanya waisrael kwa wapalestine na habari zilikuwa ni mbaya mpaka wakalipua kituo chao cha utangazaji. Ndipo wakahamia Doha.
Baadae wakaomba wapatiwe leseni ya matangazo kwa lugha ya kingereza lakini walipewa masharti mengi yakiwemo ya kutokuweka matokeo live ya mateso ya Palestinians.
Ilikuwa wakati huo walikuwa wanaweka askari wa Israel wanawavunja mikono kwa tofali watoto wa kiarabu na wanaweka live lakini ilikuwa kwa kiarabu walipopewa kurusha kiingereza ikawa hakuna tena ila habari wanazotaka wao wazungu