Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Kesi za uhalifu dhidi ya binadamu kama utekaji, mauaji na jinai zingine hazina ukomo wa muda.

Vote rigging is unsustainable, meaning wanaomkingia kifua hawatakuwepo madarakani melele. So, panapo uzima, atakamatwa tu sooner or later
Endelea kuota muuza madawa.
 
Makonda anafahamu kuwa kile kitendo cha kuvamia kituo cha "Telly" cha Clouds kwa mtutu wa bunduki ni cha kigaidi na kinastahiki kujibiwa.

Kama kimeanza kijibiwa asiwe na wasiwasi atulie.

Nchi hii ni ngumu usipoielewa na ukingia kichwakichwa utaishia pabaya.
 
IMG_8164.jpg

IMG_8163.jpg

Ushahidi uko wazi kabisa
 
Back
Top Bottom