Aliyewahi au anayefahamu Biashara ya juice ya miwa

Hami22

Member
Jan 5, 2024
15
42
Habari wakuu, ninampango wa kununua mashine ya kukamua juice ya miwa naombeni mawazo yenu, ushauri na changamoto.

Malengo yangu ninunue mashine niikodishe kwa kijana, nitafute site kariakoo Dar then huyo kijana awe ananilipa kwa siku.
Aliye na ushauri jmn naomba msaada wa mawazo plz ndy kwanza najitafuta wakuu msinitupe
 
Iko vizuri Sana kikubwa uwe na mashine ya kisasa model YF L80. Mpunga utapiga kwa kutosha nichek 0757687358. Tuongee vizur ikikupendeza nitakuuzia iyo model nmekutajia just hapo
 
Niko Mbeya mjini , picha hizo Apo chin
IMG_20240221_161507.jpg
IMG_20240221_114001.jpg
 

Attachments

  • IMG_20240221_115130.jpg
    IMG_20240221_115130.jpg
    2.1 MB · Views: 17
Back
Top Bottom