Aliyetupa Macho asiweze kuona?

I wouldn't argue more...Ni kweli unachosema, unaonekana uko smart sana tu. Mnaopenda kusifiwa kwa kila kitu dawa yenu ni kuwasifia tu.

Unafanya hivyo moyoni ukweli umekuingia na umeamua kuukimbia. Kuikimbia ukweli ni kama kulificha jua lisionekane. Kitu kimoja kaa ufahamu kuwa nafsi zetu hutuambia ukweli muda wote kuliko mtu mwingine yeyote. Usihangaike kujificha wala kukimbia, nhuwezi kuikimbia nafsi yako, ukitulia peke yako itaanza kukuambia ukweli ule akili yako isiyopenda kuusikia
 
Tatizo hamtaki kukubali, yaani mnakuwa kama kazi yenu nyinyi ni kubisha tuuuu....
maana hatuoni jitihada za kuleta maendeleo mliyohaidi zaid ya kushinda mkilalama
na kutoa matamko lukuki kama "devonshire white paper"
 
Kweli wasihue upinzani, nimeipenda hii
 
sasa nimemuelewa "mtakatifu" yaani kila akikosolewa anaona ni adui kwa utawala wake,hapo ni sawa na kukimbia kivuli chake kwani watanzania wanaelewa kinachoendelea
 
Mfungulie basi thread. Mimi hanihusu na wala simjui. Ni nani kwanza?
Kama humjui Mbowe Aka DJ, aka Shem Mukya, aka Bashitte wa Ihungo basi, mbona unataka afunguliwe thread kwani wewe MA bashite wako wooote huko kwenu umewaanzishia thread ?
 
hahaha,,,wewe bendera fuata upepo ndio unajielewa? maajabu haya
 
Kama humjui Mbowe Aka DJ, aka Shem Mukya, aka Bashitte wa Ihungo basi, mbona unataka afunguliwe thread kwani wewe MA bashite wako wooote huko kwenu umewaanzishia thread ?

Unakung'utwa wewe sio bure.....
 
Unaweza kuweka ushahidi hapa,au na wewe unahisi tu,ukimsoma vizuri Kibatala utaelewa kwa nini unachosema hakina uwezekano,tahadhari uliyowapa kina Lema mi nzuri lakini kwa hii ishu ya Lissu sio applicable
 
Mkuu alichoandika Lema hakuna faida kwako?
Anadhani yeye anatengwa na madhila yanayotokana na kinachoendelea. Ni aina ya watu wabinafsi wanaodhani wanaweza kudondokewa na makombo ya watawala wanaosigina mfumo wa sheria na usimamizi wa haki. Ni aina ya watu wa kupuuzwa kwa kuwa wako tayari kushangilia maumivu hata ya wazazi wao ili mradi wao wanatarajia makombo. Ni aina ya watu wepesi ambao tayari wameishaambukizwa chuki, sasa wanashangilia pale wenzao wanapokuwa katika mateso. Asichokijua, mwisho wa siku hataepuka mapigo yatakayotokana na dhambi ya roho mbaya na chuki dhidi ya binadamu wenzao. Kwa sasa mpuuze!
 
hahaha,,,wewe bendera fuata upepo ndio unajielewa? maajabu haya

Bendera fuata UPEPO wako Lumumba Umoja wa VIWAVI wa Chama Cha Mauaji.Huko ndiko utakapo wakuta hao unaowafikiria.

Ambao wanadhani Mwenyekiti akinya Barabarani basi sababu ni Mwenyekiti na kwao ZIDUMU fikra za Mwenyekiti basi lazima wapige makofi.
 
Wengine watadhihaki kwa vile tu aliyetoa ujumbe ni Godbless Lema, hivyo kujitia upofu na uziwi kwa ujumbe huo wenye ncha kali ya ukweli!

United we stand, divided we fall. Tanzania yenye neema na usawa kwa wote inawezekana.....lakini ni nje ya CCM tu.
 
Bendera fuata UPEPO wako Lumumba Umoja wa VIWAVI wa Chama Cha Mauaji.Huko ndiko utakapo wakuta hao unaowafikiria.

Ambao wanadhani Mwenyekiti akinya Barabarani basi sababu ni Mwenyekiti na kwao ZIDUMU fikra za Mwenyekiti basi lazima wapige makofi.
nakuonea huruma kwa sababu hujui ulitendalo unahitaji maombi
 
Bendera fuata UPEPO wako Lumumba Umoja wa VIWAVI wa Chama Cha Mauaji.Huko ndiko utakapo wakuta hao unaowafikiria.

Ambao wanadhani Mwenyekiti akinya Barabarani basi sababu ni Mwenyekiti na kwao ZIDUMU fikra za Mwenyekiti basi lazima wapige makofi.
nakuonea huruma kwa sababu hujui ulitendalo unahitaji maombi
 
Kama humjui Mbowe Aka DJ, aka Shem Mukya, aka Bashitte wa Ihungo basi, mbona unataka afunguliwe thread kwani wewe MA bashite wako wooote huko kwenu umewaanzishia thread ?
Usipotoshe kwa lengo la kijifariji: Mbowe ambaye ni Freeman Aikael Mbowe alihitimu kidato cha sita Ihungo kama ulivyoandika, na akapata divisheni zero (ambayo umeibatiza kuwa "Bashite"). Na baada ya hapo aliendelea na masomo yake kwa kusafisha hiyo divisheni zero na baadaye kufanya shahada na yuko vizuri kielimu. Na uelewe kupata divisheni zero sio tatizo kwa kuwa hiyo wakati mwingine huwa haimaanishi kuwa mhusika hana uwezo wa kiakili, bali pengine hutokana na sababu mbalimbali. hata hivyo, wapo watu ambao wanapata zero kwa sababu ya uelewa wao kuwa mdogo.

Ndugu yako unayetaka kumfariji hapa, yaani Bashite: Yeye hajagusa kidato cha tano wala cha sita. Alipata divisheni zero kidato cha nne baada ya kuwa anafeli mitihani akiwa shule ya msingi. Darasa la saba alifeli na hata hapo Pamba sekondari alisoma "evening class", hakujiunga kwa kufaulu. Kwa hiyo alipomaliza kidato cha nne hakuwa na cheti kwa kuwa alizungusha. Hadi hapo kama nilivyotangulia kusema hakuna tatizo kwa kuwa angeweza pengine ku resit akafaulu. Alichofanya, ni kutumia njia ya mkato lakini ambayo ni uhalifu (criminal offence), akatumia cheti cha mtu mwingine ambaye ni Paul kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi kwa masomo ya kiwango cha cheti na kuendelea hivyo hivyo mpaka alipokuja "kuzawadiwa" ukuu wa wilaya.

Kwa hiyo unapofanya reference, usijaribu kumwonyesha Bashite kuwa tatizo lake ni kupata divisheni zero. Fanya reference kwake kama mtu mtuhumiwa wa uhalifu ambaye muda huu unapojaribu kufifisha makali ya "tuhuma dhidi yake" kwa kumfananisha na Mbowe, anastahili kuwa mahabusu ya Keko kama ilivyo kwa watuhumiwa wengine!
 
Unaielewesha mijitu yenye akili kama BASHITE,haielewi,sijui ikoje hii mijitu
 
Unayehitaji Maombi ni wewe kila baya unapigia makofi,huoni tofauti ya utumbo na uongozi
mimi sijaona baya lolote hakuna vita watu wanafanya shughuli zao kama kawaida tatizo CHADEMA mnapenda umbea sana si mtafute kazi halali ya kufanya kuliko hii ya umbea umbea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…