Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Muulize na ile hospitali vipi ujenzi wake umefikia wapi?
Hospitali inaendelea kujengw anyie endeleeni na Majungu
Muulize na ile hospitali vipi ujenzi wake umefikia wapi?
Lema...Wakati mwingne mkiwa mnaandika UZI humu muwe mnafikiria mara mbili mbili kabla ya KUANDIKA especially kwa nyie ambao ni VIONGOZI....Mnatakiwa wakati mwingne muwe wa KWELI hili la LISSU kukamtwa leo KAJITENGENEZEA mwenyewe makusudi kuelekea huu UCHAGUZI wa TLS ili ionekane hili la yeye kukamtwa leo lina uhusiano na TLS......hamtaki kabsa kuangalia upande wa pili wa yeye kuvunja SHERIA.....
Matamko koko na kushinda mahakamani haviwasaidii wapiga kura wenu
At least umegundua kuwa wamefanya upumbavu.Mikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
Jino kwa jino ndo unavyopenda iwe? Ukweli hauna maficho ya kudumu na ukiufahamu utakuweka huru: Hili nalo kitapita. Hatimaye siku moja haki itatamalaki. Aliyopitia Lema, Lijualikali na udhalimu anaofanyiwa TAL, ndiyo garama ya amani ya kweli (ambayo ni tunda la haki) inayotafutwa usiku na mchana.Mikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
Nakushauri fungua thread yako ukiwa na hoja zilizokwenda shule na ushahidi wa mkutani wa lini alifanya na kuahidi hayo na maneno hasa gan alisema ikiwezekana unukuu na maneno aliyosema na faida ambazo zitapatikana kujenga hio machinga complex.Lema Machinga Complex uliotuahidi kipindi cha uchaguzi hapa Arusha iko wapi?
Komoa adui yako ili kuangamiza mawazo mbadala ili uishi kwa raha mileleMikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
Hivi mh.Mbowe kwaninj huyu hukumpa ukatibu mkuu wa chama?
Weye ni chinga? Sasa hivi serikali imeruhusu biashara kufanyika kila mahali Kwa chingas bila usumbufu unataka gorofa ili liwe gofu?Lema Machinga Complex uliotuahidi kipindi cha uchaguzi hapa Arusha iko wapi?
Majivuni yote haya, eti kwa sababu una mapolisi nyuma yako. Hata Iran wakati wa shaha ilikuwa hivyo hivyo lakini mapinduzi yakafanyika pamoja na kutuma vifaru katikati ya waandamaji. Nyooooooo, ptuuuu.Mikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
Mh Lema anzisha michango ya tuweze kuwawezesha mawakili watende kazi ya Mungu. Weka mpesa, togo pesa etc. Work on that!Mh Lissu amekamatwa leo na yuko njiani analetwa Dar es salaam . Hatupaswi kuogopa , kwani aliyetupa masikio asiweze kusikia kilio na maombi yetu na dua kweli ? Aliyetupa macho mnafikiri haoni ? Aliyetupa akili na fikra asiweze kuwaza juu ya mambo haya ? Tunawakati mgumu katika kazi zetu za siasa kwa sasa , lakini ni wakati muhimu kuliko wakati wowote katika historia ya mfumo wa vyama vingi , ni tabu ya kutembea kwa miguu ndiyo iliyosababisha ugunduzi wa gari , ni giza ndio kilikuwa chanzo cha ugunduzi wa umeme duniani , na tabu ya kuvaa magome ya miti ndiyo iliyoleta mapinduzi ya nguo tunazovaa Duniani leo .
Tunahitaji wakati kama huu katika mahitaji yetu ya mabadiliko , wala msiingie hofu , kwa wale wakristo mnaelewa shetani asingempleka Yesu msalabani mpango wa Mungu kwenu usingetimia , tunapita katika mateso na huzuni kwa maana kubwa katika ustawi na historia ya Nchi yetu ,kila mmoja wetu anapaswa kuona kinachoendelea na kuchukua hatua ya kulaani na kulaumu na kuomba , hata hivyo baada ya giza nene asubuhi utokea.
Msiogope Mungu amekusudia mema kwetu na kwenu .
Aluta continua , Uchaguzi mkuu wa Nchi utakuaje kama leo uchaguzi wa TLS huna vikwazo hivi ? Sio Lissu aliyekamatwa na kuanza kuletwa Dar , bali ni haki , utu ndio vimekamatwa , na wewe na mimi ni ndugu wa haki na utu wa karibu , ni sote tumekamatwa . Amkeni , dhambi mbaya na kubwa kuliko zote Duniani ni Uoga.
Mungu awabariki .
Godbless J Lema ( MB)
Mkuu unakipenda chadema kweli, yaani mwenyekiti alipata zero form 6 unataka na katibu wake awe mtu wa elimu ya hapa na pale??Hivi mh.Mbowe kwaninj huyu hukumpa ukatibu mkuu wa chama?