Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,420
- 36,585
Hao wanatudanganya ukweli wanaujua, World Bank wanastrategy zao, hawafanyi mambo bila kujua faida ya baadaye,kuna vingi tunahitaji kurekebisha kama nchi.Afadhali ukawafundishe WB
Msikilize msema kweli huyo
MAK Mringo (@SnrDirector) Tweeted:
Amkeniiii. Kuna huyu anatuchafua maji ya kisimaa. Maneno haya yana ukweli kiasi gani? Uuuuwiii, chukulia kama ni kweli. Sijui nizime simu? https://t.co/nHz7TRNnuI ()