WB: Zambia naye ameingia Uchumi wa Kati

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Tarehe 1 July,2023 ,WB imeitangaza Zambia pamoja na Guinea kama Mataifa yaliyokidhi vigezo vya kuwa Uchumi wa Kati wa Chini yaani Lower Middle Income Countries.

Ili Taifa liweze kuwa classified kama Lower Middle Income Country linatakiwa kuwa na Pato la mtu mmja Dola 1,136-4,465 Kwa mwaka likikokotolewa as GNI per Capita income measured in Atlas Method.

Screenshot_20231029-071734_1.jpg
Screenshot_20231029-072833.jpg

My Take
Kati ya Majirani wanaotuzunguka ni Tanzania,Zambia na Kenya tuu ndio tuko Uchumi wa kati , wengine wote wako kwenye kapu la aibu ya umaskini wa kutopea.
Hongera jirani Kwa kupunguza Umaskini.
Screenshot_20231029-071106_1.jpg
 
Tarehe 1 July,2023 ,WB imeitangaza Zambia pamoja na Guinea kama Mataifa yaliyokidhi vigezo vya kuwa Uchumi wa Kati wa Chini yaani Lower Middle Income Countries.

Ili Taifa liweze kuwa classified kama Lower Middle Income Country linatakiwa kuwa na Pato la mtu mmja Dola 1,136-4,465 Kwa mwaka likikokotolewa as GNI per Capita income measured in Atlas Method.

View attachment 2798627View attachment 2798628

My Take
Kati ya Majirani wanaotuzunguka ni Tanzania,Zambia na Kenya tuu ndio tuko Uchumi wa kati , wengine wote wako kwenye kapu la aibu ya umaskini wa kutopea.
Hongera jirani Kwa kupunguza Umaskini.
View attachment 2798634
Sisi hatupo huko mjambiani mpumbavu katutoa
 
Yaani Zambia na utajiri wote ule wa shaba bado wana uchumi wa dollar 1000 tu? Kweli afrika yetu tuna low IQ sana kama tanzagiza tu, wanajeshi wanavamia raia waliofundishwa kuwalinda na kuwapiga, no discipline very low IQ jwtzgiza, btw kama hamna nidhamu utashinda vita gani?
 
Kwa mujibu wa hii ramani Russia ni Middle income lakini inapambana na Higher income
 
Yaani Zambia na utajiri wote ule wa shaba bado wana uchumi wa dollar 1000 tu? Kweli afrika yetu tuna low IQ sana kama tanzagiza tu, wanajeshi wanavamia raia waliofundishwa kuwalinda na kuwapiga, no discipline very low IQ jwtzgiza, btw kama hamna nidhamu utashinda vita gani?

Itazame Congo Kinshansa hapo kwa ramani utaishia kushika kichwa pamoja na utajiri wote wa madini...
 
angalau hata kongo haijawahi kuwa na amani kila siku vita lkn zambia imetulia tulii shaba yake inajenga china yote …
 
Yaani Zambia na utajiri wote ule wa shaba bado wana uchumi wa dollar 1000 tu? Kweli afrika yetu tuna low IQ sana kama tanzagiza tu, wanajeshi wanavamia raia waliofundishwa kuwalinda na kuwapiga, no discipline very low IQ jwtzgiza, btw kama hamna nidhamu utashinda vita gani?
hivi unaandika kutumia makalio au? Maana unaandika utafikiri unatoa ushuzi.
 
Tarehe 1 July,2023 ,WB imeitangaza Zambia pamoja na Guinea kama Mataifa yaliyokidhi vigezo vya kuwa Uchumi wa Kati wa Chini yaani Lower Middle Income Countries.

Ili Taifa liweze kuwa classified kama Lower Middle Income Country linatakiwa kuwa na Pato la mtu mmja Dola 1,136-4,465 Kwa mwaka likikokotolewa as GNI per Capita income measured in Atlas Method.

View attachment 2798627View attachment 2798628

My Take
Kati ya Majirani wanaotuzunguka ni Tanzania,Zambia na Kenya tuu ndio tuko Uchumi wa kati , wengine wote wako kwenye kapu la aibu ya umaskini wa kutopea.
Hongera jirani Kwa kupunguza Umaskini.
View attachment 2798634
Shujaa Magufuli RIP
 
Back
Top Bottom