Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Ungejiita kilaza tu, maana umeandika pumba sana
Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.

Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.

Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.

Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli alichokifanya Makonda ni Upuuzi, shida yake ni uwezo wake wa Kung'amua Mambo, lakini pia kwa upande wa Kenya Polisi kukimbiza na kugawa kipigo mamia ya raia na kuua watu kwa risasi kisa Corona ni Ujuha wa hali ya juu,
Imagine mmekimbizwa na kupigwa teagas, huku mkiwa mnahema na kulia na kukohoa hovyo mnakusanywa pamoja mamia kwa mamia kama hivi, Ni wazi Kenya common sense hamna kabisa
Sijui kwanini ndugu zetu wa kusini wanachukulia hiki kitu poa namna hii, watu hawataki kuingiwa na hofu na kuona kinavyoifanya dunia, wamekalia kwenye kauli za "tusitishane". Wanasiasa akina Makonda bado wanakusanya maskini na kuwahutubia mijini.
Kenya hapa kuna mwanasiasa alifanya uzembe na amesubiriwa apone tu kisha afunguliwe mashtaka. Huu sio muda wa kufanya mazoea.

Mama kaikimbia karantini na kuchukua usafiri wa bus hadi Iringa, yaani kawaponza wasafiri wenzake wote.....
Hongera kwa timu iliyomsaka na kumrejesha.

tapatalk_1585892362806.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli alichokifanya Makonda ni Upuuzi, shida yake ni uwezo wake wa Kung'amua Mambo, lakini pia kwa upande wa Kenya Polisi kukimbiza na kugawa kipigo mamia ya raia na kuua watu kwa risasi kisa Corona ni Ujuha wa hali ya juu,
Imagine mmekimbizwa na kupigwa teagas, huku mkiwa mnahema na kulia na kukohoa hovyo mnajusanywa pamoja mamia kwa mamia kama hivi, Ni wazi Kenya common sense hamna kabisaView attachment 1407361

Sent using Jamii Forums mobile app

uziri kenya wana rais mstaarabu na mwenye hekima, kitendo cha yeye kuomba msamaha umma kimeonesha huo upuuzi ni wa polisi na sio yeye so hata jamii imemsamehe hiyo sio issue tena pale kiongozi mkuu anapoomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wanaotoroka hata huko kwenu nilishasikia.... Hapa ni kuwapa kibano tu yasijirudie zaidi.
 
Kwa kweli alichokifanya Makonda ni Upuuzi, shida yake ni uwezo wake wa Kung'amua Mambo, lakini pia kwa upande wa Kenya Polisi kukimbiza na kugawa kipigo mamia ya raia na kuua watu kwa risasi kisa Corona ni Ujuha wa hali ya juu,
Imagine mmekimbizwa na kupigwa teagas, huku mkiwa mnahema na kulia na kukohoa hovyo mnajusanywa pamoja mamia kwa mamia kama hivi, Ni wazi Kenya common sense hamna kabisaView attachment 1407361

Sent using Jamii Forums mobile app

Of course walichokifanya polisi kwetu ni ujinga na hadi sasa kuna polisi wamekamatwa kadhaa na muda wowote watafunguliwa mashtaka, bado wanasakwa, video zinafanyiwa analysis na kukaguliwa.
Sema hutaona tukisifia ujinga kama huo wa mapolisi kwetu, tulipiga makelele hadi rais akajikuta anaomba msamaha ila kwenu mkipiga makelele kwa ukatili wa polisi huwa naskia viongozi wenu wakisema wanatamani wangekua IGP.
Nyie naona Maccm kwa hili la Makonda mnasifia alichokifanya huku mkijificha kwenye kauli za "tusitishane", ujinga uliokubuhu.
 
Wangekuwa wanajulikana wala asingefika huko iringa angeishia Ubungo, si unaona tabia ya kuficha ficha, halafu watu wengine matahira kweli huko kwao alikoenda kama ni mgonjwa anataka kumaliza kizazi chake wangemtandika vibao vya haja ili akili ikae sawa ,atakuwa anamagendo yake Sasa anaona kama anachelewa pumbafu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
We dada mkali asee...ungeweza mpiga wewe mfano ni dada yako?
 
Sijui kwanini ndugu zetu wa kusini wanachukulia hiki kitu poa namna hii, watu hawataki kuingiwa na hofu na kuona kinavyoifanya dunia, wamekalia kwenye kauli za "tusitishane". Wanasiasa akina Makonda bado wanakusanya maskini na kuwahutubia mijini.
Kenya hapa kuna mwanasiasa alifanya uzembe na amesubiriwa apone tu kisha afunguliwe mashtaka. Huu sio muda wa kufanya mazoea.

Mama kaikimbia karantini na kuchukua usafiri wa bus hadi Iringa, yaani kawaponza wasafiri wenzake wote.....
Hongera kwa timu iliyomsaka na kumrejesha.

Wewe ushawahi weka mbaya ya Nchi yako na Kila siku unakesha Kenya...unaitaja Kenya Hadi usingizini hata mkeo/mchumba atafikiri una manzi anaitwa Kenya 😂😂😂
Nyuzi kibao zinafunguliwa kwenye jukwaa la siasa kule,
Sina haja ya kurudia rudia,
Ukiachana na Mkikuyu- Akili timamu ni mkenya gani mwingine anaweza kuanika mabaya ya Kenya humu?
 
M
Sijui kwanini ndugu zetu wa kusini wanachukulia hiki kitu poa namna hii, watu hawataki kuingiwa na hofu na kuona kinavyoifanya dunia, wamekalia kwenye kauli za "tusitishane". Wanasiasa akina Makonda bado wanakusanya maskini na kuwahutubia mijini.
Kenya hapa kuna mwanasiasa alifanya uzembe na amesubiriwa apone tu kisha afunguliwe mashtaka. Huu sio muda wa kufanya mazoea.

Mama kaikimbia karantini na kuchukua usafiri wa bus hadi Iringa, yaani kawaponza wasafiri wenzake wote.....
Hongera kwa timu iliyomsaka na kumrejesha.

Mkuu bashote sio mtu wa kumzingatia. Yule ni mentally unfit
 
Sijui kwanini ndugu zetu wa kusini wanachukulia hiki kitu poa namna hii, watu hawataki kuingiwa na hofu na kuona kinavyoifanya dunia, wamekalia kwenye kauli za "tusitishane". Wanasiasa akina Makonda bado wanakusanya maskini na kuwahutubia mijini.
Kenya hapa kuna mwanasiasa alifanya uzembe na amesubiriwa apone tu kisha afunguliwe mashtaka. Huu sio muda wa kufanya mazoea.

Mama kaikimbia karantini na kuchukua usafiri wa bus hadi Iringa, yaani kawaponza wasafiri wenzake wote.....
Hongera kwa timu iliyomsaka na kumrejesha.

Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital
03/18/2020

Tell your friends

Worrying development
Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

The Kenyan government, through the Ministry of Health (MoH), on Wednesday revealed that one of the patients who tested positive for Coronavirus escaped the isolation facility at Mbagathi Hospital and came into contact with 85 people.

The female patient is said to have left the isolation facility without permission after which the government deployed the security apparatus to track her down and was able to apprehend her.

"We had a patient who was brought to Mbagathi and she tested positive. She left the facility without authorization but through the security team we were able to track her down and have established her contacts. As at now, we are tracking down 85 of her contacts and will give a brief on the results," MoH's Director General Dr Patrick Amoth announcedat a press briefing held by Health CS Mutahi Kagwe.

During the briefing, Kagwe announced Kenya had 3 new confirmed cases of coronavirus - bringing the total number of positive cases to 7.

The CS added that 18 patients were being held at Mbagathi Hospital awaiting results, reiterating that those with suspected cases were legally required to quarantine and risked a jail sentence for defying the isolation order.

Coronavirus patient came into contact with 85 people after escaping from Mbagathi Hospital

CAPITAL HEALTH
Search Mounted For 80 People After Contact With Corona Patient Who Fled Mbagathi
961687f2258ad2091359478a0b67c9ed

By
Mary Thuo
Published
March 18, 2020
https://www.capitalfm.co.ke/news/20...ntact-with-corona-patient-who-fled-mbagathi/#

NAIROBI, Kenya, Mar 18 – A search has been mounted for 85 people who came into contact with a coronavirus patient who had escaped from Mbagathi Hospital in Nairobi.

Deputy Director of Medical Services at the Ministry of Health Dr Patrick Amoth said the patient escaped from a quarantine facility, but was traced and taken back by security forces.

“There was a patient in Mbagathi apparently who left the facility and through security operators, in the country, we traced and brought her back and she tested positive, We are looking for 85 patients actively and will give updates on the contacts we are following,” he told a news conference in Nairobi Wednesday, when Kenya announced an additional three coronavirus cases, raising the number to 7. The woman who escaped was among the three.

The three new cases include a couple who arrived from Madrid, Spain, through Dubai on March 4.

The third case, he said, is of a Burundian citizen-who arrived from Dubai and was isolated upon arrival at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) due to high body temperatures.

“He was picked up by our surveillance team with high temperature during routine screening at the Jomo Kenyatta International Airport,” said Health CS Mutahi Kagwe.

So far, 18 people are admitted to to the Mbagathi isolation centre, 7 others have been screened and are negative while “samples from the 11 remaining suspected cases are being processed in our two designated laboratories.”

Those being discharged, he said, will embark on self-quarantine at home.

He urged Kenyans returning from abroad to exercise caution saying they must self-quarantine.

“It is now clear that the threat that we are facing is from Kenyans or foreigners coming or who have visited overseas countries,” the CS said.

Those arriving in the country will henceforth be required to sign a legal form committing to self-quarantine.

“We will forcefully quarantine you for 14 days and later charge you,” he said.

He said Kenyan doctors on Wednesday had a video-conference with Chinese doctors in Wuhan- where the disease has been put to control.

Across the world, the virus has claimed more than 7,500, people with Europe being the new epicenter. Italy remains the worst hit due to high fatalities and positive cases.

Search mounted for 80 people after contact with corona patient who fled Mbagathi » Capital News

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
 
uziri kenya wana rais mstaarabu na mwenye hekima, kitendo cha yeye kuomba msamaha umma kimeonesha huo upuuzi ni wa polisi na sio yeye so hata jamii imemsamehe hiyo sio issue tena pale kiongozi mkuu anapoomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusubiri rais wa nchi ya wagagigikoko aje aombe msamaha,ni sawa na kusubiri kuona bao la kuku.
 
Yaani mwanao, mtoto mdogo asiye na hatia 13years old ameuliwa kwa Risasi bila huruma halafu jamaa anakwambua samahani, seriously?
Na pia suala la police brutality kenya ni Kila mwaka, uchaguzi ulipita chini ya Rais mstaarabu police waliua Wakenya wasio na hatia 120 tu, achilia ule mwingine wa watu zaidi ya 2000.
uziri kenya wana rais mstaarabu na mwenye hekima, kitendo cha yeye kuomba msamaha umma kimeonesha huo upuuzi ni wa polisi na sio yeye so hata jamii imemsamehe hiyo sio issue tena pale kiongozi mkuu anapoomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi changamoto huwa ni elimu? Kutojali? Au nini? Mtu anatoka Norway na bado hajui maana ya karantini. 😉
 
Back
Top Bottom