Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Wakati anatoroka walinzi walikuwa wapi? Wakamatwe washitakiwe kwa uzembe Tena walipe faini ya 5m kila mmoja au wakaendeleze bustani ya bamia segerea
Huyo ni kichaa au jambazi alindwe kwa attention hiyo? Utaratibu wa kukaa karantini si unajulikana duniani kote...Mtu mzima unatoroka karantini kabisa!!! Sijui unamtetea nini... Au ndio wewe
 
Wangekuwa wanajulikana wala asingefika huko iringa angeishia Ubungo, si unaona tabia ya kuficha ficha, halafu watu wengine matahira kweli huko kwao alikoenda kama ni mgonjwa anataka kumaliza kizazi chake wangemtandika vibao vya haja ili akili ikae sawa ,atakuwa anamagendo yake Sasa anaona kama anachelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom