dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,878
- 2,085
Duu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app