mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,790
Halafu kitu ambacho hakijui, policia brutality haijaanza leo kule Kenya na wala haitoisha leo,Yaani mwanao, mtoto mdogo asiye na hatia 13years old ameuliwa kwa Risasi bila huruma halafu jamaa anakwambua samahani, seriously?
Na pia suala la police brutality kenya ni Kila mwaka, uchaguzi ulipita chini ya Rais mstaarabu police waliua Wakenya wasio na hatia 120 tu, achilia ule mwingine wa watu zaidi ya 2000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course walichokifanya polisi kwetu ni ujinga na hadi sasa kuna polisi wamekamatwa kadhaa na muda wowote watafunguliwa mashtaka, bado wanasakwa, video zinafanyiwa analysis na kukaguliwa.
Sema hutaona tukisifia ujinga kama huo wa mapolisi kwetu, tulipiga makelele hadi rais akajikuta anaomba msamaha ila kwenu mkipiga makelele kwa ukatili wa polisi huwa naskia viongozi wenu wakisema wanatamani wangekua IGP.
Nyie naona Maccm kwa hili la Makonda mnasifia alichokifanya huku mkijificha kwenye kauli za "tusitishane", ujinga uliokubuhu.
Yaani mwanao, mtoto mdogo asiye na hatia 13years old ameuliwa kwa Risasi bila huruma halafu jamaa anakwambua samahani, seriously?
Na pia suala la police brutality kenya ni Kila mwaka, uchaguzi ulipita chini ya Rais mstaarabu police waliua Wakenya wasio na hatia 120 tu, achilia ule mwingine wa watu zaidi ya 2000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sisi tu ndio tunafanya mambo tofauti na ushauri wa direction za WHO
Umekoma umama wewe mkenya jingaKwa kweli alichokifanya Makonda ni Upuuzi, shida yake ni uwezo wake wa Kung'amua Mambo, lakini pia kwa upande wa Kenya Polisi kukimbiza na kugawa kipigo mamia ya raia na kuua watu kwa risasi kisa Corona ni Ujuha wa hali ya juu,
Imagine mmekimbizwa na kupigwa teagas, huku mkiwa mnahema na kulia na kukohoa hovyo mnakusanywa pamoja mamia kwa mamia kama hivi, Ni wazi Kenya common sense hamna kabisaView attachment 1407361
Sent using Jamii Forums mobile app
kutwa unafuatilia habari za Tanzania udhani nchi yako.Do you think it's that easy?Nashauri wakipatikana wapigwe chuma chap, wasitiletee Korona kwa makusudi kwanini wanakuwa wakaidi kiasi hicho?
Swali zuli sana,huyo anarudishwa quarantine kuu....Atarudishwa ama wanamuweka huko huko Iringa
Meanwhile all the slums in Nairobi have no water and ukunya unaendelea ku-concentrate na what Tanzania doesAngekuwa IGP, hahaha, hata ungekuwa wewe, wale waumini wa Kanisa mchungaji wao aliitwa kituo cha polisi wao wote kanisa zima wakaenda kituo cha polisi kupiga mapambio, of course polisi wetu nao kuna wakati wanavuka mipaka ila sio kuua watu hovyohovyo mpaka wanafika idadi ya 100 kama uchaguzi uliopita hapo kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu yeye na umaku wake anakuja anaifadhiwa sehemu anatotoka ivi Kama anakorona atakua kaambukiza wangap huu usenge alio fanya zingekua nchi zenye akil Kama zangu uyu asinge kua Tena binadam kamil
Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.
Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.
Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.
Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Angekuwa IGP, hahaha, hata ungekuwa wewe, wale waumini wa Kanisa mchungaji wao aliitwa kituo cha polisi wao wote kanisa zima wakaenda kituo cha polisi kupiga mapambio, of course polisi wetu nao kuna wakati wanavuka mipaka ila sio kuua watu hovyohovyo mpaka wanafika idadi ya 100 kama uchaguzi uliopita hapo kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekoma umama wewe mkenya jingakutwa unafuatilia habari za Tanzania udhani nchi yako.
Rudi ujibu hoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin serikali ilitangaza kuwa wakitoka nje watajigharamia gharama za karantin nibukaidi wao mi niseme tuu serikali iongeze ulinzi tuuuSiwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.
Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.
Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.
Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Alipanda IT ningumu kuwapata wenzakeHata wale aliopanda nao gari pia watafutwe wapimwe kwa gharama zake
Kurudi Tanzania ni haki ya kila raia, kutokea nchi zilizoathirika aina maana watu wote wanarudi na virus.Lakin serikali ilitangaza kuwa wakitoka nje watajigharamia gharama za karantin nibukaidi wao mi niseme tuu serikali iongeze ulinzi tuuu
Aiseee chalii yangu punguza uboya. Kama Prince Charles anao, Boris Johnson anao. Wewe ni nani unayejisaidia porini na vichakani usiwe nayo?