Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Aliyetoroka karantini akamatwa Iringa

Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.

Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.

Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.

Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Wengine watakuwa hawana corona na wataipatia hapohapo karantini
 
Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila aliyewekwa karantini ni mgonjwa. Karatini ni kukaa siku 14 ukipimwa na kusikilizia Kama umeathirika au la. Kwasababu dalili zinachelewa kujitokeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ccm hawaoni aibu kuendelea kuruhusu ndege za kutoka Ulaya kutua hapa nchini
Hilo linahusika vipi na Ccm? Utaratibu mzuri wa kukaa karantini 14 days ili kujua kama upo na maambukizi au la,lakini wanaojichetua akili kama wewe ndio hivyo wanatoroka.
 
Kuna makosa kwenye hizo karantini kule china wanafungwa kifaa cha kuwamonitor mienendo ya mtu. Tabia ya mtu inabadilika sana na hawa wangefungwa iwe rahisi kuwapata wajinga wanaotoroka kama hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa kipengele cha uwezo wa kumudu gharama hotelini kwa siku 14. Hili linaumiza kichwa. Sio kila anaetoka nje ya nchi ana fedha nyingi. Wengine njaa kali kuliko tulioko bongo
Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.

Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.

Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.

Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inafanya mzaha kwenye mambo yanayohusu Afya zetu, kwa nn wasiweke ulinzi kwenye maeneo hayo,
 
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema alipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dniale Chongolo na akamjulisha kuhusu mtu aliyetoroka karantini

Mtu huyo baada ya kutoroka Dar alionekana yuko Iringa, uongozi wa wilaya walishirikiana na jeshi la polishi kujua anapokaa mtu huyo na wamempeleka kantini

Mtu huyo inasemekana alitoka Norway, na ana siku nne tangu aingie hapa Tanzania. Alikaa karantini siku tatu na kuamua kutoroka

Nyumba aliyokaa pia iko chini ya karantini na mganga mkuu wa wilaya atawapima wote wanaoishi katika nyumba hiyo

Kasesela amesema kuna mwingine wiki iliyopita alitoroka karantini ya Tunduma na hadi sasa hawajui yuko wapi, lakini mtu huyo alikuwa mmalawi

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah bongo vituko haviishi...
 
Siwezi kulaumu mtu anaetoroka, hivi unawezaje kumpangia mtu sehemu ya kukaa halafu alipie kwa mfuko wake? wanajuaje kama watu wanaweza mudu hizo gharama za kukaa hoteli.

Isitoshe sehemu ambazo wanatakiwa kufikia watoa huduma udhani kama wapo trained ku deal na namna ya ku limit maambukizi kwenye maeneo yao ya kazi iwapo kuna mtu analogonjwa humo (nina uhakika wahudumu watakuwa wanaingiza vyakula mpaka vyumbani, badala ya kugonga na kuacha milangoni) if anything hizo sehemu zilizotengwa zinaweza kuwa infection centres za baadae kama bado hotel zenyewe zinatoa huduma na kwa raia wengine.

Quarantine mtu anaweza kukaa ata nyumbani kwake na familia yake kuna masharti tu ya kuishi ndani ya nyumba ambayo yeye na familia lazima waheshimu.

Wewe unamwambia mtu akakae hoteli wakati ulipi bill iweje, yaani watu aisee. Ubunifu zero.
Wanataka wakomeshe watu sababu wametoka majuu
 
Wengine watakuwa hawana corona na wataipatia hapohapo karantini
Kabisa hasa wahudumu, madokta tu kupitia uwakilishi wao wamelalamika upungufu wa PPE, huko hotelini sijui kama hata wahudumu wanafikiria hayo.

Zoezi lote halina mantiki watu wanaweza fanya kitu hiko hiko wakiwa makwao.
 
ila akina mama ni wabishi kweli kweli, yaani wanaenda huko kwenye nchi zenye ma-corona kupiga madanga tena kwa siku 2 au 3 wakirudi na hawataki kukaa karantin, nia yao sijui nini?
 
Sijui kwanini ndugu zetu wa kusini wanachukulia hiki kitu poa namna hii, watu hawataki kuingiwa na hofu na kuona kinavyoifanya dunia, wamekalia kwenye kauli za "tusitishane". Wanasiasa akina Makonda bado wanakusanya maskini na kuwahutubia mijini.
Kenya hapa kuna mwanasiasa alifanya uzembe na amesubiriwa apone tu kisha afunguliwe mashtaka. Huu sio muda wa kufanya mazoea.

Mama kaikimbia karantini na kuchukua usafiri wa bus hadi Iringa, yaani kawaponza wasafiri wenzake wote.....
Hongera kwa timu iliyomsaka na kumrejesha.

Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema ni mgonjwa kwan... Au kila aliyepo karantini ni mgonjwa siku hizi
 
Back
Top Bottom