Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayemlaumu yule mwalimu kwa alichokifanya?
Yes! Mimi nina akili timamu na ninamlaumu mtoa video kwa kitendo kibaya na cha kimbea alichokifanya.
Mimi sio mwalimu lakini ninaamini huyo mrekodi video amepata mafunzo ya ualimu, na siku zote ni vizuri kufikiri kabla ya kutenda.
Ni kwanini niendelee kusema na yeye anastaili adhabu..
Kwanza hakurekodi hiyo video wa nia njema.
Pili, alipaswa kuchukua hatua nyingine kuzuia yule kijana asipigwe zaidi.
Tatu, angemtaarifu mkuu wa shule juu ya lile tukio na mkuu wa shule angetafuta jinsi yakulimaliza bila kuleta madhara zaidi...
Na ninaamini kwa yaliyotokea kwa sababu tu aliamua kutoa mambo ya ofisini kwake nje yanamsumbua sana kwa sasa na hakika atakuwa anajuta.
Heri mpatanishi kuliko mchochezi.
Mwisho huyo anapaswa kujirekebisha, umbea siyo mzuri...
Kwa bahati mbaya naona atakuwa amemweka Mwanafunzi katika hali ngumu zaidi kimasomo, japokuwa nyie mnaona kama amesaidia.
 
Ni kweli lingeishia ofsin kwanza, ila kama mwalim unajuwa kalaa za Wanafunzi, ubabe, zarau, uropokaji darasan unakera sana, ndio mana watu mmekasilishwa sana, ila azabu iliyo torewa ni kubwa kwa mwanafunz, ila na kwa walim ni kubwa zaidi mana ndio kwanza wapo mafunzoni, watoto wanasumbuwa jaman nyie achen tu, ualim ni Kaz mwanafunz anamtus mwalim,, in general no discipline no academic achievements, Hilo tulijuwe
 
Sisi kama waalimu tunasema tutaacha kuwapiga watoto wenu lakini matokeo yakitoka watoto wenu wamefeli msitulaumu manake ndicho mnachokitaka, uyo madam aliyerekodi ni mwehuuu na juhaaaa la mwisho, itakua labda uyo madam alkua anawataka washkaj kmapenz ila jamaa wakawa hawana time naye kutukana na ubaya wake.
Kumfundisha mwanafunzi akapasi sio kwa mateke na ngumi,kama haelewi unabadilisha mbinu za ufundishaji.Ni sawa kwa daktari,akupe dawa,na huponi,akupige mateke na ngumi au akubadilishie matibabu?
Waalimu badilikeni,ukiona mwanafunzi haelewi somo,badilisha mbinu za ufundishaji.
 
Ametajwa kuwa naye ni mwalimu aliyeko field akitokea Chuo Kikuu cha Iringa.

Ni huyo binti anayesikika kwenye clip akilalama,"Sir,Mwalimu utamuumiza".
Pole yake!
 
Mleta uzi, tafadhari sana. Yule mwalimu kijana alivikuwa anampiga makofi yule mtoto kama anaua joka. Haifai namna ile.
Hata mimi nasema haifai, lakini kuna suluhu mkuu.
 
Naomba namba zake nimkeshi laki moja hiyo ilikua ni nauli ya Dar to mbeya kuja kuwanasa vibao ao masharobaro....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli lingeishia ofsin kwanza, ila kama mwalim unajuwa kalaa za Wanafunzi, ubabe, zarau, uropokaji darasan unakera sana, ndio mana watu mmekasilishwa sana, ila azabu iliyo torewa ni kubwa kwa mwanafunz, ila na kwa walim ni kubwa zaidi mana ndio kwanza wapo mafunzoni, watoto wanasumbuwa jaman nyie achen tu, ualim ni Kaz mwanafunz anamtus mwalim,, in general no discipline no academic achievements, Hilo tulijuwe
Wachangiaji wengi hawawezi kukielewa ulicho sema sababu walio wengi wana stress za kukosa ajira kwa mda mwingi hivyo hawawezi kukuelwa sababu wanachuki wpna walio ajiriwa.NINAHISI TU.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Hivi unaakili kweli,embu jichukulie aliepigwa hivyo ni wewe au mwanao au mdogo wako,ungeposti upuuzi huuu wewe.
 
wale si walimu maana hawana TSD namba ni wanachuo tuu!!
Na Kina Ndalichako walipaswa kulifikiria hili! Pengine wale vijana bado darasa halijawakaa vyema, si hawajamaliza chuo?
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Mama Prof wametenda kosa please wapunguzie adhabu wamejifunza mengi, walimu waliopofika job hawakuwa na nia ya kumdhuru mwanafunzi ni ajali kama ile ya Mh. Speaker kipindi kile cha campaign kule Kongwa.
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Bro nakuonea huruma kwa utupu wako wa kichwani. Unawezaje kusema mtoa taarifa achukuliwe aadhibiwe. Kwanza hapa ndipo tunapoona umuhimu wa hii mitandao kwa kuwa bila hiyo hili jambo lingepita kimya.
 
Back
Top Bottom