Hapana.
Wa.pumbavu ni wewe na wenzako wenye mawazo kama yako.
Kaivuruga jamii! ninaamini hao vijana wangeweza bado kupatanishwa.Kama hujui kaitendea nini jamii ipi basi hustahili hata kuelezwa zaidi.
Baki na ujinga wako.
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Jamani jamani mbona mnajitoa akili hivyo? Hivi tukisema kila jambo baya liamuliwe kwa njia hii nani atakuwa salama? Je, ni kweli kabisa hawa walimu na huyo mwanafunzi wangesikilizwa na kusuluhishwa isingewezekana?Peleka huko uscorpion wako kila mtu analaani ile adhabu wewe unafungua mdomo kuongea pumba kwanza huyo alierekodi anastahili ht kuwekwa kwenye vitengo nyeti maana ni jasiri.
Sijakataa hatua kuchukuliwa, zimechukuliwa tofauti kabisa na ilivyopaswa.Eti "kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua? hey jamani hata ndg inaonekana haelewi jinai ninin na mauaji ninin? Na ww unakurupuka tu kuja kuanzisha uzi wako,kosa lipo hatua zichukuliwe.
Huyo aliyerekodi amefanya jambo jema sana coz kwa kipigo mile mauaji yangeweza kutokea na isijulukane chanzo chake. Ameonyesha ujasiri kuliko watu wa buguruni hususan inavyoseneana ni mwanamkeHuyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.
Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.
Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...
Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).
Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Kna kitu hukijui ndugu kuhusu elimu ya tanzania ndio maana unaongea kienyeji, private hawakai na mtoto mtukutu na mkorofi wanamfukuza mara moja tofauti na shuoe za serikali ambazo haziruhusu kumfukuza mtoto shule zaidi hapo kinacho fanyika ni kumsimamisha kwa muda na baadae anarudi tena kupakaza ukorofi kwa wengine ,private schools hawana mda wa kubembeleza mtoto mkorofi sasa shule za serikali kumfukuza mwanafunzi milolongo yake ni mirefu sana kitu ambacho kimekuwa tatizo zaisWewe unadhani wanafunzi wa shule binafsi wanapigwa kama ng'ombe ndiyo maana wananidhamu?
Unadhani wazazi wa wanafunzi wa shule binafsi hawana uchungu na watoto wao?
Mimi naona umekurupuka kweli, shule binasi nyingi hata fimbo hsitumiki zinatumika njia mbadala kumfanya mwanafunzi kuwa na nidhamu na wala si kumpiga kama punda amegoma kubeba mzigo, jichunguze ,tulia acha papara , utaelewa tu.
Sikuwahi kudhani kama na Maprofesa kama Ndalichako wanaweza kutoa maamuzi kwa kutumia hisia zao tu.Haya ni mawazo yako,hatukatai,lakini yanaonyesha jinsi mawazo yako yalivyopinda.Haya si mawazo ya mtu wa kawaida kabisa,lazima utakuwa na matatizo in your upstairs.
Ni wazi kwamba hawa vijana wamemfanyia mwanafunzi huyu tendo ovu kabisa,it doesn't matter kama walikuwa kwenye mazoezi ya vitendo au la,hawa ni waovu kutoka ndani,ni watu wasio na huruma kabisa na hawafai kabisa kuwa waalimu.Kwa hiyo uamuzi aliochukua Prof.Ndalichako ni sahihi kabisa na anapaswa kuungwa mkono.
hongera maana ww ni mwelewa,utabaki hvyo hvyo daima blammerWewe unaongelea kitu gani hapa? Kama huelewi kwa nini usikae kimya? au na wewe ulikua kwenye kamati ya upigaji ?
Yes, ni lazima ukatili ukomeshwe.'Common sense' Na zenyewe zilikuwa likizo?...kama mwanao hajawahi kutana na ukatili wa maisha ya shule utajaribu kuu 'dilute' ukatili huo kama unavyojaribu kufanya
Sawa mkuu wewe si ni malaika? Na huoni hasira wala huna hasira...Mtoa post toa uchafu wako hapa au wewe ndiyo mmoja wa watuhumiwa?
Mulizoea kuonea watoto wa watu we unafikili wenyewe wazazi wa huyo mtoto wamejisikiaje?
Binafsi hukumu iliyotolewa bado ni ndogo sana.
Aliyepiga picha ya kuuawa kwa Mwangosi afungwe? Maana hakusaidia? Cha muhimu ashikwe awe shahidi NAMBA moja, aeleze Mubashara nini kilitokea. Mimi ni Mwalimu pia lakini walichokifanya WALIMU wenzangu hao ni Ugaidi, wachukuliwe hatua stahiki.