Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

Whistleblower.
MIMI NAONA ALIYE RECORD ANADHAMBI KULIKO WALIOMPIGA KIJANA COZ
1.ALITAKA UMAARUFU WAKATI KIJANA ANAUMIZWA
2.ALIKUA NA NAFASI KUFANYA KIJANA ASIUMIZWE KWA KURIPORT.

KWA UMBEA WAKE ANAKESI YAJIBU

Note:just a mare opinion
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
 
We tembosa inaonekana ni ndg wa huyo MWL that's why unamtetea ,hiyo how to handle cases ni course wanayoichukua kabla hawajaenda field so hapo wamefanya maksud na isitoshe hawajalazishwa kuwa waalimu wafanye kazi nyingine hata wakalime ualimu ni wito co kazi kwanza wachunguzwe huenda hata vyeti vyao vya kugushi.
Soma hapa

Kiukweli dogo kabla ya pale, alikataa kuchapwa wala kuchuchumaa pamoja na kwamba wenzie wamechapwa ambao wote hawakufanya zoezi darasani alipohojiwa akamjibu vibaya mwal katika kumshika wamchape akampa ngumi ya mdomo mwalimu. Ilibidi Wamchukue wampeleke ofisini lakini mwl aliyepigwa ngumi awali alirudi darasani kutuliza wanafunzi wengine. Alipoona wametulia alianza kurudi ofisini kumbe yule dogo pale ofisini alipoona walimu wamebaki wawili tu akawapa dozi ya ngumi wakamshindwa. Akaanza kutoka nje ya ofisi anakimbia yule mwalimu alikuwa darasani akamuona na kumuwahi ukapigwa mkono kidogo akammudu na kumrudisha ofisini kwa walimu wengine hapo ndio kila mmoja akajikuta anahitaji kumaliza hasira zake. Walimu kadhaa wakiwa wanaugulia maumivu.

Unajua kwa huyu dogo yeye aliridhia kichapo alichopewa na walimu ndo maana siku11 toka tukio limetokea wala hajaripoti. Hata home hakwenda kusema kwakuwa anakesi tatu nzito na aliwahi kumjibu hovyo baba yake mbele ya walimu alipokuwa ameenda kutetea asifukuzwe. Achilia mbali hayo ameshavunja tv ya dingi yake home wiki mbili zilizopita. Wiki hili amekamatwa na walimu akivuta bangi shuleni na wenzake. Baba yake anasema simtaki huyu nyumbani kwangu. Hivyo tusiangalie mtu alipojikwaa tuangalie pia source ya kujikwaa. Tunapotoa maamuzi tuangalie mambo kwa ujumla wake.
 
Asingerecord habari ingejulikana Vipi, amefanya jambo jema na fundisho kwa Walimu wengine juu ya namna njema ya kuwarudi Wanafunzi wakosaji
 
Huyu mtu ni nani?
Je, na yeye ni mwalimu kabisa au alikuwa kwenye mazoezi?
Mwenyewe wamemchukulia hatua gani?
Akiachwa atakuwa amependelewa sana, kama mkuu wa shule alichukuliwa hatua hakuna jinsi huyu aliyerekodi video aachwe!
Mkuu wa shule hakuwa na taarifa kabisa ya tukio lile hadi anakuja kuliona kwenye mtandao siku sita baadae, lengo la mchukua taarifa halikuwa kusaidia bali ni umbea na kuwachomea wenzie.

Watanzania hebu pimeni wenyewe ni watu wangapi wamekasirishwa na tukio lile ambalo lingeweza kumalizika kwa amani kabisa ndani ya Ofisi husika. Pia hakupaswa ku concentrate kwenye video while kijana alikuwa anaumizwa, alivyoona wenzie wanahasira yeye ambaye alikuwa hajakasikirika angepaswa kuplay part hapo.

Watu tunawaona Walimu wanafunzi wale kama wanyama na tunasahau upande wa pili kabisa...

Isitoshe vijana wale walikuwa mazoezini, inawezekana bado hawajafundishwa how to handle cases of that type, au hicho kipengele hawajakifia.
Ilipaswa waonywe na wafundishwe as walikuwa kwenye Teaching Practice (ni sehemu ya mafunzo).

Ndalichako na hao waheshimiwa wengine wamekurupuka sana kwenye maamuzi, kisingizio kikiwa ni jinai kwani wameua?
Huyu aliyerekodi tukio hili asiachwe.
Akili hasi hizo
 
Mkuu, una uhakika gani kama aliyerecord ile video angemtaarifu mkuu wa shule unajua hatua gani zingechukuliwa!!

100% ya maamuzi ambayo yangechukuliwa na mkuu wa shule in kulimaliza tukio lile kimya kimya.

Je, Nani angefahamu haya!!
Wangapi wangejua nini kinaendelea mashuleni!!
Nafikiri aliyerecord ile video anastahili pongezi kwa kufichua moja kati ya mambo ya hovyo yanayoathili sekta ya elimu.

To me, ni kitu cha kishujaa na kinachofaa kuigwa.
 
Huyo aliyechukua video hastahili kuwa mwalimu, hana decree ya kufundisha, mwalimu gani saa za kazi anachukua matukio kama mwanahabari? Yaani hii teknolojia inatufanya wajinga wa kutupwa, ndio hawa akiwa darasani mda wote anachezea simu wala hafundishi...
 
Katika mazingira kama yale ulitegemea afundishe nini pale?

Ulitegemea aendelee kushika chaki huku mtoto akishambuliwa?
 
Kwa nini baada ya kuchukua hiyo video asipeleke kwa mkuu wa shule ili hao wenzake washughulikiwe kinidhamu na kisheria?

Kwa nini aamue kurusha mambo ya ofisi yake kwenye jamii, wakati angeweza kulipeleka hilo swala kwenye ofisi yake likashughulikiwa.

She's unfit to be a teacher, hana ethics za kuachiwa ofisi kufanya kazi, hata kuwa PS tu hafai.
 
Jamii ipi ilihali mkuu wake hana taarifa! Kwanini asingeanzia hapo?
Mkuu wa nini. Kila mtu anatakiwa kuja kuwa kwa Karne ya leo chochote utakachofanya lazima uwe makini, huyu aliyerekodi kafanya vizuri. Asingefanya hivi haya mambo yangeendelea kukomaa. Fikiria hao ni walimu wanafunzi wamefanya hivyo, je wale waliokwisha ajiriwa siku/miaka mingi watakuwa wameshafanya mangapi?
 
Katika mazingira kama yale ulitegemea afundishe nini pale?

Ulitegemea aendelee kushika chaki huku mtoto akishambuliwa?
Sababu za kuchukua hiyo video ilikuwa nini hasa? Anajua taratibu za kazi yake:?

Well, amechukua picha, baada ya hapo "mwalimu" anarusha mitandaoni ili kila mtu aone "ofisini kwake" wanavyofanya kazi. Hakika huyo hata taratibu za kazi yake hazijui, hajui kuna mwalimu na kamati ya nidhamu shuleni, hajui yupo mwalimu mkuu wa shule, kaona the best way ni kuonyesha ulimwengu ofisi yake inavyofanya kazi.

Ni mtizamo wangu, sidhani kama anafaa kuwa mwalimu, hata kuwa personal secretary hafai.
 
Mkuu, una uhakika gani kama aliyerecord ile video angemtaarifu mkuu wa shule unajua hatua gani zingechukuliwa!!

100% ya maamuzi ambayo yangechukuliwa na mkuu wa shule in kulimaliza tukio lile kimya kimya.

Je, Nani angefahamu haya!!
Wangapi wangejua nini kinaendelea mashuleni!!
Nafikiri aliyerecord ile video anastahili pongezi kwa kufichua moja kati ya mambo ya hovyo yanayoathili sekta ya elimu.

To me, ni kitu cha kishujaa na kinachofaa kuigwa.
Kulimaliza kimya kimya ndiyo suluhisho sahii
 
Kwa nini baada ya kuchukua hiyo video asipeleke kwa mkuu wa shule ili hao wenzake washughulikiwe kinidhamu na kisheria?

Kwa nini aamue kurusha mambo ya ofisi yake kwenye jamii, wakati angeweza kulipeleka hilo swala kwenye ofisi yake likashughulikiwa.

She's unfit to be a teacher, hana ethics za kuachiwa ofisi kufanya kazi, hata kuwa PS tu hafai.
Unfit kabisa!
Hapa watu wanamsifia lakini yeye huko aliko hana tofauti ya hao waliofukuzwa chuo.
Labda awe ana roho ya jiwe.
 
Katika mazingira kama yale ulitegemea afundishe nini pale?

Ulitegemea aendelee kushika chaki huku mtoto akishambuliwa?
Huyo ni mnafiki alikuwa na uwezo kabisa wa kuzuia lile, mie nishawahi mdaka mwalimu wa kiume alotukanwa tusi na mwanafunzi akataka kumvaa mwanafunzi kwa hasira, tulifurukuta hadi tukaanguka chini then wengine wakaingilia kati na kumshika mtoto.

Unadhani hizo hasira hazitokei? Ila akitokea mmoja akatake action basi taratibu na wengine wanarelax na kutuliza munkari then case inakuwa solved ikiwa wote wako calm.
 
Just want to know: Huyo aliyepiga picha ndiye aliyeisambaza au ali- share na mtu mwingine ndipo ikasambaa? Kama si yeye aliyeisambaza tunamshukuru walau kwa kurecord. Shukrani za dhati tuzipeleke kwa aliyeisambaza kama c aliye record.
 
Back
Top Bottom