Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

Hata hizi english medium nazo hivyo hivyo wanajali sana kufauli ili wapate wanafunzi wapya.

Siku hizi hadi kuna bench la ufundi la kupiga chabo
 
Tumesoma shule za kawaida za serikali a.k.a kayumba na tumetoboa zaidi ya degree moja na tumefanikiwa kufanya organization za kimataifa hao waliosoma English medium wameishia diploma,so usi underestimate shule za government aka za maskini zimesaidia wengi, na maisha no juhudi zako na kujituma
 
Back
Top Bottom