REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,451
- 9,375
Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya tetesi kuwa serikali ipo kwenye mpango mwakani turudi kwenye elimu ya kulipia hii ni kutokana na shule kuwa nyingi na idadi ya wanafunzi kuongozeka hivyo inataka jitoa
Na hii inaweza kuwa ina ukweli ukweli kwani ni miezi miwili sasa imepita shule za msingi na sekondari hazijapokea pesa za uendeshaji shule fedha hizo ni za mwezi October, na Novemba 2023, wale wa elimu msingi mwezi September 2023, hawakupokeea kabisa, wakaja kupewa za mwezi October pekee,
Kwa hiyo mpaka sasa elimu msingi wanadai pesa za mwezi September na November, sekondari wao wanadai za mwezi October na November, kwahiyo wakuu wa shule wana hali mbaya ikumbukwe huu ni mwisho wa mwaka, mwezi October na November shule zilikuwa na mitihani ya Taifa na mitihani ya kumaliza mwaka jiulize mitihani ya ndani imeendeshwaje shule zenye watoto elfu mbili plus.
Inasemekana zile shule za boarding za serikali zenye kidato cha tano na kidato cha sita wadhabuni wachakula baadhi ya maeneo wadhabuni wameingia woga kutoa huduma kwani miezi miwili sasa wamehudumia na hawajalipwa ikumbukwe sasa hivi hao wazabuni kila mwezi wanalipwa hivyo hali ni mbaya wanafunzi wanakula mlo mmoja tu kwaiyo mzazi ukiombwa pesa na mwanao mtumie hali si shwari uko mashuleni.