Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

huyo jamaa aliyeongoza anamuita malaria sugu mjomba, ya kweli hayo?
 
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi

lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu

kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii

kafondao swaii

Nani kakwambia? kwani Feza Boys iko kiborloni? Hapo ni juhudi za Hosegirl kutoka Iringa na wala sio Uchagga...:lol::lol::lol:
 
Jamani wakristo wanaakili kweli mana seminary zao zinaongoza kila mahari,jamani waislam wenzangu tujitahidi na sisi tuweke mkazo ktk masomo ya dunia.

Ila nanyie mko juu sana kwa ilmu akhera
 
Mkuu unamaanisha wanauwezo wa kukufikisha ahera bila kupenda ama??umentisha mpwa
 
Haaa! hivi leo ndo wachaga wameongoza kwenye necta, manake this is a routine kwa watu from Mara na huwa hawaweki mabango.
 
Hv mbona mara zote sisi wa akina Atifugwegwe Mwakifwenye tunaongoza hatusemi kitu!Leo wachaga mnajiona ndiyo bora kuliko wote!Haya tukutane matokeo ya form 6 mwezi ujao!!
 
Hongera sana Moses Swai. Keep it UP. Mungu akutangulie safari ya A Level, Huko njiani kuna Papa na Nyangumi wasije wakaipindua Meli Yako. Umenifurahisha kijana unastahili Pongezi.
 
aisee hata meno ayajaanza kutoa rangi nahisi ametumia ""maji ya kilimanjaro toka utotoni ""
422931_238107352939848_100002217546016_551074_594745247_n.jpg
 
Wana kadi ya chama cha cck!!
 
HAYA WACHAGA TUWAJADILI NA HAWA WAKINA MAGUFULI/KIKWETE IMEKUWAJE HIVI??

Amemaliza shule ya st.Matthew's
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="width: 6%"]
S1071/0102​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
F​
[/TD]
[TD="width: 22%"]JESCA JOHN MAGUFULI[/TD]
[TD="width: 6%"]
30​
[/TD]
[TD="width: 4%"]
IV​
[/TD]
[TD="width: 58%"]
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F​
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hivi huyu dogo ni ndugu na Nsia Swai nini?. Ila kweli mnaongoza
 
Hv mbona mara zote sisi wa akina Atifugwegwe Mwakifwenye tunaongoza hatusemi kitu!Leo wachaga mnajiona ndiyo bora kuliko wote!Haya tukutane matokeo ya form 6 mwezi ujao!!

Tuachage nongwa wananchi. Siku zote tunawasema wachaga mara ooh hawajui kufanyika mara wezi, mara wanawake wao sijui namna gani na sijasikia rundo la watu wakikemea ukabila. Leo limetokea jambo zuri kwao basi wametania kidogo tu wanaonekana wakabila. Kwani uongo?

Hongereni sana shemeji zangu, Mungu awaongezee kitimoto na mbege mpate akili zaidi.
 
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi

lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu

kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii

kafondao swaii

Mkuu mbona umeandika upupu mtupu kama siyo uharo? Yote hayo yametoka wapi? But hongera kwa kijana and God bless him
 
Happy valentine mwanangu
 
Attachments

  • UJUMBE MUAFAKA.jpg
    UJUMBE MUAFAKA.jpg
    1.2 KB · Views: 76
Ingekua ndo hvo wakurya nao wangejipongeza,maana wao kuongoza matokeo ya necta huwa ni kitu cha kawaida tu kwao.

Si ndo namshangaa imetokea mara moja ktk miaka kibao ndo anafanya kuchonga kuliko kawaida. Ama ndo ile maskini akipata ****** hulia mbata?
 
alwayz catholic take a lead! Ukibisha nenda vatican tunatawala dunia mtaruka ruka hakuna kitu! Kama unabisha mwambie jei kei ampinge bwn pengo! Dola ya warumi imekufa coz ilikuwa n direct nw itz direct!
 
Back
Top Bottom