Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

Huu ukabila utaisha lini humu jamvini?

Hata mi inanikera saana, huu ni ukabila wa kishabiki, kufaulu vizuri kunatokana na juhudi na kuwepo kwa mazingira yanayowezesha juhudi kuzaa matunda, sidhani kuwa kabila linamchango hapo, kwanza anauhakika gani kama huyo kijana ni ni mchaga? au kwa sababu baba yake ni mchaga?
 
Kuna jamaa ananiambia eti ni shangazi yake Faiza Foxy aje akanushe hapa
 
Hata mi inanikera saana, huu ni ukabila wa kishabiki, kufaulu vizuri kunatokana na juhudi na kuwepo kwa mazingira yanayowezesha juhudi kuzaa matunda, sidhani kuwa kabila linamchango hapo, kwanza anauhakika gani kama huyo kijana ni ni mchaga? au kwa sababu baba yake ni mchaga?
Anayejua baba wa mtoto ni mama, na ndiye anayejua kabila lake. Hamkusikia utafiti kwamba asilimia 60 ya wanaume walipimwa dna mwaka juzi hawakuwa na uhusiano na watoto wao?
 
hongera sana mdogo wangu! Kila la heri...lakini inabidi tuwaombee na wale wengine walioandika bongo fleva kwenye mitihani kwani nao ni watoto wetu vilevile...na wazazi nao walijitahidi kwa hali na mali kuwalipia ada lakini walichokifanya hata mzazi unaweza pigwa na butwaa kubwa...kizazi hiki mungu tusaidie..

hao wataandika bongo fleva milele wameambiwa baada ya miaka 5 ndio wanaweza kurudi shuleni kama kurudia ama lah we si una watoto wa wili hapo
 
Hata mi inanikera saana, huu ni ukabila wa kishabiki, kufaulu vizuri kunatokana na juhudi na kuwepo kwa mazingira yanayowezesha juhudi kuzaa matunda, sidhani kuwa kabila linamchango hapo, kwanza anauhakika gani kama huyo kijana ni ni mchaga? au kwa sababu baba yake ni mchaga?
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya ST James Moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayo kazi kubwa...nakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form four 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.
 
mfumo kristo unawabeba ha ha ha ha ha ha.

mkuu ngongo
nuichi kuore swai wekeenda msikitni cha iyo mbe kanyi...so ngiichi ichu swai okwi lakini le
ulafike ko mkristu ama ichu msilamu ngiamba mchaga nafaulu mchaga naongoza wooooseeeeee pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu tanzania wachaga waijasana kila siku kulya tr,bandari,ikulu na ulalukuri wakundi ingia ikulu kapsaaaa kapsaaaaaaaaaaaaaaaa nuichuo mbe kanyi
ulateme na wachaka kabisa wekeleuyo lakini wailunda weketema shule lakini waipasua
moshaaaaaaaaaaaaaaaaaa moko ucha
lucha na

mushi
moshi
ndesamburo
kiruwaa
mosha ama
ryinalosepyuuuuuuuu la mndeniiiiiiiiiiiiiii

KUMI BORA YOOOOOOOOSEEE LOTEMA NAYOOOOOOOOOOO NGIICHI MWORICHA KWI ??
 
Anaweza kuwa mtoto wa Prof. Andrew Swai, daktari bingwa Muhimbili
 
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya ST James Moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayokazi kubwa...bakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form 4 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.

WAKICHUJA SI WATASOMA"NZIIIIIII"""""PEKEEEEEEEE UNAFIKIRI WALIVYOPIGA KELELE ATUTAKI WASOME KWETU TUKAWAMBIA NJOONI WAKIFANYA SCREENING WANAJIONDOA WENYEWE MMOJA AKAOMBA MATOKEO AKAKUTA AMEJITAHIDI AMEFIKA "c"" AKAAMBIWA ST NANIINO TUNAANZA NA "B+""""" ohhhhhhhh nyie akaishia nahisi jitegemee ama mgulani wanakowaonea huruma
 
hao wataandika bongo fleva milele wameambiwa baada ya miaka 5 ndio wanaweza kurudi shuleni kama kurudia ama lah we si una watoto wa wili hapo

Kwa hiyo wewe hii uliifurahia sana au?? angeweza akawa hata mwanao...omba sana...hujui usemalo...
 
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
Sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya st james moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. Sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayokazi kubwa...bakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form 4 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.

wakichuja seminary zao si atasoma

""""""""nziiiiii"""""""""""""kwenye mia watapata 5 ndioo maaaanaaaaaaa sio kwamba atuwataki kwenye shulee zettu wanajiondoaaga wenyeweeeeeeee kwenye interviewwwwwwwwwww after results
uwiiiiiiii ngapita tupu ngilashike uko
 
mbona ce wakina malafyale hamtusifii kubahatika mwaka huu mnataka kutusumbua kwel kipya kinyemi.
 
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi

lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu

kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii

kafondao swaii

Ikulu!!?? Ikulu si yuko JK, au una maana ndio washauri wa JK. Sitaki kuamini hivyo.
 
Teteeateee ujanielewa
hata angekuwa mwangu ndio nampeleka kabisa shule ya muziki wala akuna aja ya kujishugulisha na kurisiti mpwa huyu amekuonyesha kabisa hata veta aitaji sasa kwa nini usimrahisishie aongeze kipaji chake wapi mr sugu leo si mbunge alianzaje unajua siriyangu na kaa ka yangu
 
wamesahau asilimia 40 ya wachaga ni wagumba????? huyo mtoto anaweza kuwa MDIGO/MHADZABE by origin?

akija hospitali nitampima DNA yake halafu niweka hadharaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ni mtoto wa Professor Andrew Swai wa Internal Medicine Muhimbili huyu dogo!
 
wamesahau asilimia 40 ya wachaga ni wagumba????? Huyo mtoto anaweza kuwa mdigo/mhadzabe by origin?

Akija hospitali nitampima dna yake halafu niweka hadharaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

umpime dna mbagala .wakati .muhimbili tumekufukuza unataka pima watoto wa watu una laana weeeyeee
karibu mpwa umenifurahisa kwelii baba mmoja alimwambia mkewe hii ni kisa cha kweliiiiiiiiiii
walibahatika kupata watoto 6 na huyo mama..baba akamwambia
unajua mama nina kitu naataka kukwambia samahani sijawahi kukueleza hata kidogo mmh mama akasita akasema
niambie mume wangu ..akamwambia usiumie akamwambia hata kidgo akasema aliwahi kuzaa mtoto mmoja wa nje anaomba aje pale nyumbani maana mama aliezaa nae amemtupa mtoto kwa bibi zake akamwambia hee hiyo si furaha kwa nini iniume

akaenda mjini wakamtaarishia kitanda alikuwa wa kike ...aliporudi akaleta vitu kibao akawa na furaha alipofika akakuta nyumbani wako watoto 2 wamebaki ukiongeza na mgeni wa tatu akuliza hee wameenda wapi hawa watoto akajibiwa

""""""""""""""""wamechukuliwa na baba zao """""""""""""""""""""
 
Back
Top Bottom