Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,189
- 28,890
machalari + kitochi + Kitimoto = Division One............pts 7
mkuu kuna kitu inaitwa kiburu, kitawa ni balaaaa.
machalari + kitochi + Kitimoto = Division One............pts 7
Huu ukabila utaisha lini humu jamvini?
siku mkiamua kusoma na kuacha kushinda vyuoni na kula ndizi za bukoba sio mshale
embu wataalamu wandizi tusaidieni swai alikula aina gani kuna ndizi hadi za kichina jamani
Unaweza kuangalia div1/2/3 nyingi wamezikimbia
kama hawa
national examinations council of tanzania
csee 2011 examination results
p0889 twayyibat sem. Centre div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 40 fld = 46
Hii ndio seminary yao iliofaulu
national examinations council of tanzania
csee 2011 examination results
s0252 al-kheir islamic girls seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 27 fld = 0
Jamani wakristo wanaakili kweli mana seminary zao zinaongoza kila mahari,jamani waislam wenzangu tujitahidi na sisi tuweke mkazo ktk masomo ya dunia.
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi
lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu
kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii
kafondao swaii
Hivi kwa nini Malaria Sugu anafungiwa? au ndio double standard yenyewe?
Hapana mkuu kuna shule zao zilizofanya vizuri zaidi mfano hii hapa chini hawana hata zero.
S0671 UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL
DIV-I = 10 DIV-II = 11 DIV-III = 20 DIV-IV = 46 FLD = 0[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE)[/TD]
[TD="width: 50%"]12/215[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 50%"]CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE)[/TD]
[TD="width: 50%"]122/3108[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tukiendekeza utambuzi wa mafanikio ya watu kwa makundi tutapandikiza mbegu ya baadhi ya makundi kudhani kwamba wao kiasili wamezaliwa kuwaongoza wengine, matokeo yake tutakwenda rwanda au romania.
Hongera sana mdogo wangu! kila la heri...lakini inabidi tuwaombee na wale wengine walioandika bongo fleva kwenye mitihani kwani nao ni watoto wetu vilevile...na wazazi nao walijitahidi kwa hali na mali kuwalipia ada lakini walichokifanya hata mzazi unaweza pigwa na butwaa kubwa...kizazi hiki mungu tusaidie..
Ya Ubungo lazima ifaulu au hujui kuwa mbunge wa Ubungo ni Hon. John Mnyika MP?
it iz rimakabo achivment kwa kweli
karibu mkuu nahisi elimu yangu imenisaidia zaidi kuliko wewe unahangaika bado na wahadhari mi nilishamalizana nao pole sana
much luv