Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

mwenzio ana machungu ya kufeli shule nzima div 3 mmoja
unafikiri yeye ana div gani??

pdidy mi ni certified public accountant na cna historia ya kupata div 3..katika maisha yangu cjui nini maana ya kufeli,so acha ukabila na udini..
 
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya ST James Moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayo kazi kubwa...nakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form four 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.

Wakina nani wasiokuwamo kwenye list?
 
Makabila yalozoea kupasua yapo kimya, wengne kubahatisha mwaka huu ishakuwa wimbo!thread ya kimajungu na uzandiki,haina mwelekeo!kizuri chajiuza,kibaya lazma kipge domo looh polen wachaga!

Sikutegemea kukuta majungu kama haya humu ndani...hivi kuna uhusiano gani wa kbila na yeye katika kufaulu?
 
hongereni sana,ila nasikia hizo ndizi za kichaga ndizo zinasababisha wanawake wachaga wanakuwa na shape ya simba,yaani namba 9 aka wanakuwa wanene juu chini wembambaaaa vimiguu fito kontena juu ya miwa,afu pia wamepigwa pasi backward.me naogopa sana hizi ndizi za moshi manake zinaharibu shape

teh teh teh umeua mkuu, hapo watagoma hao
 
Siku mtakapoacha kuwasema wachagga.Kila siku mnaanzisha mada wachaga hiki, wachaga kile
Leo wamejianzishia wenyewe kujipongeza mnaiona ngondo!
Waacheni wajipongeze.
Hongereni WACHAGGA. HUWA TUNATAMANI TUWE KAMA NYIE NDIO MAANA KILA SIKU TWAWASEMA.

Ha hahaaaaa haaaaaaaaaa!!!! Umesema kitu kutoka kumoyo.
 
Maskini akipata ****** hulia Mbwata Mbona kila mara wanafunzi bora wanatoka kanda ya ziwa victoria lakini hawabweki,Kila mtu anajua vipaji vinatoka kule mapanga shaa(wakurya) na wahaya (nshomile) Wachaga wanaijua hela tu,ndo maana wakicheza kwenye harusi zao wanashikana mikono kila moja hamwamini mwenzie wanaogopa kuingiziana mikono mifukoni.Mchaga mchaga acha ukabila Nyerere angekuwa mkabila Musoma ingekuwa kama ulaya maana bado wa Tz walikuwa mbumbumbu.
 
Huu ukabila utaisha lini humu jamvini?

Umewaona eeh.Yaani tumefikia hatua ya kuangalia aliyefaulu vizuri ni kabila gani,aliyefeli ni kabila gani.Hayakuwepo haya miaka michache tu nyuma,tunaelekea kubaya watanzania wenzangu
 
This discussion is rubbish eti Kabila lina mchango kwenye kufaulu? hayo ni Mawazo mgando.....and by the way it is not you... Moderator remove this discussion people are losing focus of what JF was ment for. I think you would have help the Children at by telling us what they should do academically, how to behave and what makes someone successful in studies than just saying he did well because he is Mchagga.....

Tatizo ni kwamba watu wakiwasema vibaya hakuna anayekemea wakijifagilia watu wanahamaki!!!!!
 
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi

lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu

kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii

kafondao swaii

Unaamini mtoto kufanya vizuri shuleni kunategemea kabila lake? Crap!!!
 
hongereni sana,ila nasikia hizo ndizi za kichaga ndizo zinasababisha wanawake wachaga wanakuwa na shape ya simba,yaani namba 9 aka wanakuwa wanene juu chini wembambaaaa vimiguu fito kontena juu ya miwa,afu pia wamepigwa pasi backward.me naogopa sana hizi ndizi za moshi manake zinaharibu shape

Ha ha bora uwe na akili kuliko kuwa na shape
halafu kichwani ziro matokeo yake kuwa cha
wote aka Mlupo.
 
Wenzenu twaongoza ktk skuli za kawaida.. Nyie mmbebahatisha Feza.. Mnapokua SPOON FED.. na pepa mwasoviwa.. Insane!
 
vipy tz last naye kabila gani mbona bango alija2piwa jamvini..!
 
Kwanza hongera kwa shemeji zangu
sasa natumaini dunia kama si tanzania wanajua kwanini ttumejzana pale NA SI KWA KUBAHATISHA KAMA WANAVYOTABIRI NA CHAKULA SIO WALI /UGALI BALI ONGEZA NA NDIZI UWE NA AKILI
tra
bandari
ikulu
wizara za serikali
nk
si hicho tu 2015 tunataka kuingiiaaaa ikulu kabisa tushachok a kutomasana tomasana getini ikulu...hii inaonyesha kwamba watanzania wengi wanakubali sasa wachaga awakubahatisha kujazana
sehemu nyeti za serikalini na sasa wamehamia kwenye ngo zinazonuka hela nyingi nyingi

lengo kuu haswa ni kumpongeza kashemeji changu jamani andrew swai kwa kuionyesha tanzania
wachaga atukuja dar kuangalia matairi ya gari wala kuhesabu magari ya showrooms tumekuja kutafuta
maisha kihalali kupitia elimu

kwa niaba ya familia ya mushi,moshi,sarangawe,kinabo,marealle,keteleei,
na familia zoteeee za kichaga tunakupongeza shemeji kwa kukomaa na shule
hii ndio future iliobakia kwenye dunia hii natumaini mungu aliekufikisha hapo
anajua wapi unapotakiwa kufika ...na sie wakina kirenga,,urewedi na wengineo
tunakutakia heri na fanaka na wengine wote waliomfwatia kwa kuonyesha nia ya kumpita shemeji yetu swaii

kafondao swaii
Vipofu wakiona mwezi!
 
jibu unalo hapo kwenye red
kwa ufupi muelewe urithi wa wachaga ni elimu tangu zamani na kila mtoto anajitahidi kusoma kwa bidii ndio jadi yetu, kunapokuwa na ushindani lazima juhudi kubwa zihitajike na ndicho tunachofanya kwani ukifeli jamii nzima inahuzunika.
sijisifu wajamini hata mm nimepita seminari ya ST James Moshi na performance yangu ilikuwa nzuri hadi namaliza shahada ya pili. sasa wenzetu hawathamini elimu na wao kuanzisha seminari hawachuji na pia malezi wanayowapatia bado wanayo kazi kubwa...nakumbuka sisi tulianza 40 tukamaliza form four 32 tu.mda
wa kusoma ni mfupi na tulijithaidi sana,
ni ajabu sana kuona wenzetu hawapo kwenye list inasikitisha watafute mbinu mbadala.

Du mwalimu wako wa insha/imla bado mzima??
 
Shule za Feza Boys/girls zinasifika kwa kuiba mitihani kitaalamu kwahiyo hastahili kupongezwa sana. Wako waliofaulu kwa jitihada zao vizuri bila ya huu wizi unaofanywa na shule za Feza.
 
Hata mi inanikera saana, huu ni ukabila wa kishabiki, kufaulu vizuri kunatokana na juhudi na kuwepo kwa mazingira yanayowezesha juhudi kuzaa matunda, sidhani kuwa kabila linamchango hapo, kwanza anauhakika gani kama huyo kijana ni ni mchaga? au kwa sababu baba yake ni mchaga?
Sasa kama baba ni mchaga unategemea mtoto awe mmakonde?
 
Back
Top Bottom