LiverpoolFC na wewe tiririka km Mungi na LENGIO hata km huyo Justin nyari anahusika si akamatwe hata km ni Diwani wa huko Arumeru masharikiLENGIO nakwambia ya kwamba hii move itakuwa nzuri sana kama haki ikifuatwa
Tuwe wapole kwani hakika hatutaamini haya yote yatakayofuata...........!
mijihela yote hiyo hao waliotumwa wangeenda kuumtaarifu mhusika marehemu sasa
na angwaongeza dau kubwa zaidi na wangehusisha polisi mchezo ungeisha
hela wangekula na nyongeza juu na aliewatuma angekamatwa na polisi
sasa wameua,hela hawatazifaidi na jela wataishia
majambazi na wauaji waakti mwingine hawatumii akili za ziada
Killing a human fellow for just 150m?
Arusha kuna mambo
Hivi inatawaliwa na rais huyu huyu? Utadhani movie za kimfia
Hii habarai inahusianaje na kifo cha Erasto?Watendaji ofisi ya tsd biharamulo ni majanga kwa walimu.
Kwani mkuu, Manumba si ndo DCI mwenyewe??? au kuna mahali nimepotea?
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci
hapo kwenye red me hoi kwa kichekoNalipongeza jeshi la police kwa hatua nzuri waliofikia,,ila nawashauri wana usalama wamtumie huyu kijana aliyeweza kumlenga na risasi 21 zikafanikiwa kumpata bilionea,,,,atakuwa ni asset nzuri sana kwa inchi yetu,,maana anaonekana mkono wake hauna vibratiion(hana pepopunda ya mkono) atumiwe kule darfu ,congo,au akae hapa dar kwenye trafic light kwaajili yamajambazi wanaotumia bodaboda
Huyo lazima atakuwa Chusa, manake yeye ndiye aliyemwua yule kijana wa Erasto aliyekuwa anamwibia madini pale tanzaniteone. Baadaye Chusa na Erasto wakawa na bifu sana mpaka Chusa akawekwa ndani kwa ajili ya mauaji ya yule kijana.
Inasemekana pikipiki zilizoenda kwenye mauaji ya Erasto zilinunuliwa mpya kwa kazi maalum, simu mpya mbili kwa kazi maalum.
Tusubiri mengi........................